Duration 4:50

Kwa mji wa Mwangaza - Godwin Ombeni (New Album 2017).

416 280 watched
0
1.5 K
Published 3 Nov 2017

Kwa Mji wa Mwangaza” is my new and the best album. Kwa Mji wa Mwangaza is one of the songs in my new album. This song is meant for all; but I have sung it specifically as a memorial to my Friend and Beloved, Fanuel Sedekia. This friend of mine is not lost, I know where he is; he has gone before me unto Glory. Surely, the mark he has left in this World shall never be erased. In the land of fadeless day; there is no night there. Almost all songs in this album are hymns. The album is distributed by Umoja Audiovisuals (E.A) Ltd. Original copies are available in all larger album sellers shops in East Africa. “Kwa Mji wa Mwangaza” ni wimbo uliopo kwenye album yangu mpya). Wimbo huu ni kwa ajili ya watu wote lakini nimeuimba kipekee kama kumbukumbu ya Rafiki, na Mpendwa wangu, Fanuel Sedekia. Rafiki huyu sijampoteza, najua aliko;ametutangulia kwenye Utukufu. Hakika, alama aliyoiacha hapa duniani hakuna wakuifuta. Kwa Mji wa Mwangaza hapana usiku. Album hii ni ya nyimbo za Tenzi za Rohoni. Album hii inasambazwa na Kampuni ya Umoja Audiovisuals (E.A) Ltd. Ukitaka Nakala halisi utazipata katika maduka yote makubwa yanayo uza kanda, Afrika Mashariki. Karibu Tuabudu Usisahau Ku-Subscribe Channel hii /c/GodwinOmbeniMinistries

Category

Show more

Comments - 138