Duration 29:52

USISUBIRI KUAJIRIWA, WAKILI WA MAHAKAMA KUU ATOA DONDOO ZA UFUGAJI

9 734 watched
0
70
Published 11 Jan 2021

Ufugaji unalipa! Frank Mushi, mmiliki wa Frank Farms ambae pia ni wakili wa mahakama kuu, amezungumza na BizTV kuhusu ujasiriamali wa kilimo cha ufugaji. Yaliyomo: 0:00 Mwanzo 1:28 Kwanini kilimo? 2:01 Wazo la kilimo lilianzaje? 3:27 Ulianza lini ufugaji? 5:00 Unagawaje muda wako? 7:47 Aina za kuku 11:30 Gharama za ufugaji 13:50 Changamoto ya kwanza 14:43 Changamoto ya pili 15:53 Changamoto ya tatu 17:30 Wateja wanapatikanaje? 20:27 Nifanyeje ili nianze ujasiriamali? 28:02 Jinsi ya kuwasiliana na Frank Farms

Category

Show more

Comments - 13