Duration 6:1

Mwanamke mwenye asili ya Brazil ameishi nchini kwa zaidi ya miaka 40

1 212 135 watched
0
2.2 K
Published 5 Jun 2016

Mwanamke mmoja mwenye asili ya Brazil ameishi humu nchini kwa zaidi ya miaka 40 katika eneo la likuyani kaunti ya kakamega. Elvis kosgei alimtembelea mwanamke huyu nyumbani kwake kongoni ambapo anaishi tu kwa amri ya mungu kutokana na mazingira alimokuwa. Mbali na hayo amedai kujaribu kutafuta usaidizi kutoka kwa balozi ya brazil bila mafanikio yoyote. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Category

Show more

Comments - 320
  • @
    @shannycateringservices..4 years ago You are indeed godly people. God bless you all.
  • @
    @MohammedMohammed-uo5sk3 years ago Halloo kenyans lets help this family. Haki hii kenya tunaishi maisha tofauti but ningeliomba serekali ya country ya kakamega bwana gavana oparanya pliz . ...Expand 3
  • @
    @jessendegwahmusic4884 years ago Kuishi ugenini ni changamoto sugu. Shukuru mungu uko nyumbani. 3
  • @
    @phil56896 years ago The daughter should apply for a brazilian passport and travel to europe with her kids and claim refugee. 4
  • @
    @faizabaishe51725 years ago Alhamdulilah inshallah mungu akujalie na subra iko siku utafika brazil. 3
  • @
    @peacefulabdhulhakeem30328 years ago For all those who volunteered to help her, may the almighty god have mercy on you too dears! I truly love people who have mercy upon their fellow humans and all harmless creatures of god! 9
  • @
    @joerichards10006 years ago Why should she be taken to brazilian embassy? She deserve to have kenyan citizenship for havens sake, and be assisted by kenyan government. She has been . ...Expand 45
  • @
    @geddygeddy53086 years ago One of her child will make her dreams cone to pass. In my prophetic visions and thoughts, i decree and declare abundant blessings full of joyful life and better health. 19
  • @
    @bobrudala3784last year Kazi nzuri hakika ni hadithi yaabariki wale wote walioshiriki kuandaa taarifa hii.
  • @
    @chedamoraadaisy3168 years ago God is on your side one day the closed doors will be opened. 8
  • @
    @centmichael48147 years ago Allah akbar, allah akbar. Hiyo ni mitihan ipo siku itakwisha. 9
  • @
    @k.anaidza4 years ago Heart wrenching! God have mercy on the lady.
  • @
    @zannesmarie7283 years ago Mbona ameji achilia hivi, amp; she' s very beautiful.
  • @
    @emillyzeeh11732 years ago Pole sana mama brazil, ako wapi huyu mama brazil kwa hivi sasa?
  • @
    @guikjhhjujj22787 years ago Mungu atakusaidia mama kwa afya na uzima. 1
  • @
    @dashuusaalim19434 years ago Reporter anatumia lugha ya kifasihi mashallaah waswahil tuko vzury nassi.
  • @
    @Mpakauseme4 years ago Aisee kayakanyaga vibaya mpaka mashambani africa hatari, mwenyezi mungu amfanyie wepesi.
  • @
    @eileenkihula37544 years ago Dahh, huruma saana, hata msaada hana jamani loohh.
  • @
    @sweetyfaridahsweety87007 years ago Naomba number yake binafsi kakamega ndio nyumbani. 5
  • @
    @sharonwanush54085 years ago Wah
    hadi nimelia
    nilikua nadhani me nina mashida mob but hii imezidi.
    2
  • @
    @maryhessel13768 years ago May the lord bless her and heal her with her husband god have mercy. 2
  • @
    @judithsalvatory28924 years ago Mungu ni mwema atasikia kilio chenu pole sana.
  • @
    @elsielsee15298 years ago Too painful may god almighty hear your cry and grant your wish. 25
  • @
    @leilaomar55405 years ago Naomba no ya uyu mama tafadhali jamani.
  • @
    @rydaartashastar74728 years ago Oh god same story to me, touched, i wish i was near i would help. 11
  • @
    @christde18 years ago Elvis kosgei asalaam aleykum naomba mawasiliano nanyi,
  • @
    @gnmmng42038 years ago Mungu hawaaji waja wake. Nawaombea afueni.
  • @
    @myself41286 years ago Mpeni uraia acheni roho mbaya. 40 yrs is too much for god' s sake plus added bonus she is black she is one of us. 3
  • @
    @lenakisuza65746 years ago Nigependa kumsaidia lakini tunaanzia wapi? 1
  • @
    @alphonsinesingirankabo62745 years ago Wende kwa alp loukao alleluia minister utapona mama yangu.
  • @
    @hellenraphaelkulaya40756 years ago Ooh sorry mummy god may help you one day will be happy.
  • @
    @dianahcheropngaina94964 years ago Mungu ambaye mume muabudu miaka nyingi amesgidwa leo hau amalala wamuombe.
  • @
    @vickiekenyan53565 years ago Huyu mama halizahitiwa kweli naomba number yake plzz kogoni primary school dio home kwa my mum naeza muzahitiya.
  • @
    @nyamburamuya98976 years ago Any updates on this lady' s situation.
  • @
    @bintikiziwi46006 years ago Hiyo more than 40yrs nobody is alive mumy, pole woiyiee.
  • @
    @janvierwilondja93637 years ago Mimi ni umoja wa brasil, na niko mshirikiyano yaku saidiyana. 3
  • @
    @husseinmunga95915 years ago Am also work brasil and its like kenya, mas aqui esta bem. 1
  • @
    @daimavlog6 years ago Kwa nini hamuwekagi hata namba jamani tukawasaidia?
  • @
    @brownbabygirl12845 years ago Why can' t the government help her out. My goodness. So shameful. 2
  • @
    @sahromohamed43756 years ago Kutoka australia pls number yake nimsaidye.
  • @
    @user-hk2om2ef7m6 years ago Ornestly speaking that reporter killed it with the language swahili sanifu. 2
  • @
    @pichunakichuna21112 years ago Is she still there how can i help her? Contacts please.
  • @
    @prettylittlething63676 years ago How can we contact this lady, am mary 25 years old and am ready to help her in whatever way. 6
  • @
    @lcoliveira95286 years ago Que essa mulher foi fazer pra esse lugar?
  • @
    @sabinahabimana82406 years ago Kwanini aukuweka number yako ya simu weka please.