Duration 12:27

MFANYAKAZI wa MOCHWARI Afunguka - WATU WANATAKA MAJI YA MAITI, HUWA TUNAWACHAPA BAKORA

337 721 watched
0
1.3 K
Published 25 May 2021

MFANYAKAZI wa MOCHWARI Afunguka - "WATU WANATAKA MAJI YA MAITI, HUWA TUNAWACHAPA BAKORA!" MFANYAKAZI wa nyumba ya Kuhifadhia Marehemu Katika Hosptali Ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha ameleza changamoto aliyoipitia wakati wa wimbi kubwa la taharuki ya ugonjwa wa Corona Ulivyoingia Nchini na changamoto zingine tangu ameanza kuhudumu kwa miaka 18 iliyopita. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 324
  • @
    @RuzoOwzy3 years ago Mtangazaji na rasta wote wapo vizuri. Maswali yotekuhusu mochwari, kama yamejibiwa.
    labda moja la namna gani alizoea hiyo kazi, coz mwanzoni nahisi nae alikuwa anaogopa.
    25
  • @
    @ruthshoo43773 years ago Yaani huyu kaka ni jasiri mnoo na huduma yake ni nzuri mungu aendelee kumlinda. 33
  • @
    @abdulparesh48993 years ago Mtangazaji unauliza maswali vzr sana babu big up sana. 42
  • @
    @ukhutfatumah11543 years ago Nimejitadi kusikiliza mbk mwisho lakin alhamdulillah nimejalibu kusikiluza kwa makin ili niulize lakin yote yameulizwa na kujibu respect mtangazi much love from uae. 3
  • @
    @eliyantv24news263 years ago Rasta yupo vizuri sana, hongera sana, mungu akubariki. 1
  • @
    @kuschprince32163 years ago Presenter na mhojiwambaya! This is what we call jounarlism; keep it up bro watching from europe. 9
  • @
    @pichunakichuna21113 years ago Nimempenda rasta ako sawa sana mugu akubariki sana. 4
  • @
    @khadijahomankweliyamjahaya74213 years ago Safi sana kaka unamsimamo na kazi yako una hofu ya mungu maan haya maji kweli wapeni bakola ase imani chafu. 5
  • @
    @michaeledward4783 years ago Kaka nice sana mungu akulinde na akusaidie.
  • @
    @heritier51193 years ago Mwanadamu asiye na akili umuua mwanadamu mwenzake hali nae ni marehemu mtarajiwa. 37
  • @
    @trizahwanjiru49782 years ago Yaongopesha jamani, ewow mungu wangu umetupea talanta nyingi i say.
  • @
    @sakinaramzu28783 years ago Unakaz nzuri na roho mzuri sana rasta mungu akutunze. 9
  • @
    @moshimgaza56423 years ago Mungu akulipe. Watandikeni wakome mungu atakulipa kwa hilo. 1
  • @
    @mamachris68113 years ago Rasta ni imani, dred ni mtindo wa nywele. 19
  • @
    @pizohunter77033 years ago Jiran mwenye huduma kubwa kwa jamii pamoja sn brother mwenyez mungu akutunze sn kaka.
  • @
    @charlesmollel18453 years ago Mtangazaji. Wew n shujaa. Mbunifu. Utafika mbal sana. 1
  • @
    @captinadams2843 years ago Huyu rasta ako very mature and i love his courage. 1
  • @
    @yusuphjonathan29703 years ago Hii kaz naipenda sana ila sijapata nafax ya kaz kama kunakaz munambie wadau.
  • @
    @veronkanini35563 years ago Huyo mzee nimempenda aki mungu akumpe maisha marefu.
  • @
    @ahmadkasika71143 years ago Jamaa nimekuelewa mstari wa mwisho,
    tuwajali ndugu zetu wakiwa hai, sio mtu kafa ndio mnamjali haina maana yoyote.
    20
  • @
    @hassandalida75063 years ago Hongera sana ni mara yakwanza kumsikiya mtangazaji muzuri kama wewe.
  • @
    @shannelika7183 years ago Mtangazaji ametisha sana maswali mazuri mno. 8
  • @
    @fatmabhai28122 years ago Mna wazimu hamna maadili. Maiti wa kike hawezi kukoshwa na mwanamme. Kidini khaswa kiislam hairuhusiwi. Hao wengine sielewi. Hata iyo kuzalishwa pia id="hidden4" kidini mjamzito azalishwe na doctor mwanamke namshkuru allah kuniumba muislamu na kufata maagizo ya dini yangu alhamdulilah. ...Expand
  • @
    @wallesmdoe9164last year Ras yupo vzr sana anavyojibu maswar siopw.
  • @
    @elizabethisrael42563 years ago You can not be normal. No! Hela wanaoroa wanaotaka hayo maji ni mengi lazima umuogope tu mungu ndio ikatae.
  • @
    @beproudofyourself.38763 years ago Mtangazaji auliza maswali vizuri mkono ukiwa juu ya jeneza mm siwezi kweli. 1
  • @
    @jayjay43133 years ago Da, mtaua wachawi wa watu rasta mjue lo, sio kwa huduma hiyo ya mzigo wa bakora. Bora mngewalaza pembeni ya maiti ili uchawi uwatoke. Cheka leo, bakora tu babake da, mtangazaji nimekukubali, point juu ya swali, haemi mtu, na wala halipotei bando huku. ...Expand 12
  • @
    @thegreat.98693 years ago Hahahaaa. Rasta anajibu simpo sana jamani.
  • @
    @neemaatanasi34983 years ago Maswali yapo vizuri na majibu pia yapo vizuri kiufupi mpo vizuri. 5
  • @
    @avitusmichael53 years ago Nakukubali mwamba, unajiamini sana asee. 1
  • @
    @J4UPro3 years ago Najivunia kuwa muislamu
    maiti wa jinsia ya kike huoshwa na wanawake na wanaume huoshwa na wanaume.
    26
  • @
    @aloycerobert28023 years ago Weacha tu namkumbuka jamaa yang aliye niandalia baba yang mzazi ase wako vzr sana. 1
  • @
    @petroniammasi69993 years ago Nimemkubal sana rasta hata mtangazaji yuko vizuri.
  • @
    @bitesimon6792 years ago Rasta ana point interview ilikuwa nzr, mjali mtu akiwa hai.
  • @
    @filbertnashon71603 years ago Sasa maji ya maiti wanapelka wapi? Aise ebo.
  • @
    @mussataliye78153 years ago Maswal yenye akil na majibu yenye kueleweka. 4
  • @
    @akinandrea39113 years ago Safi sana! Maswali na majibu mafupi yaliyonyooka.
  • @
    @linetnekesa80193 years ago Una ujasiri kaka mm hata kupitia hata karibu na kaburi nyakati za usiku siwez sembuze mauro balaha. 1
  • @
    @salimalaquimane26403 years ago Alhamdulillillah kua muislam maana ni lazima ni wanistir wanawake wenzang. 15
  • @
    @ibrahmanoma41793 years ago Mtangazaji yupo poa kwa maswali na jamaa anayejibu yuko poa kwa kujibu maswali. 2
  • @
    @shadiamuwadhi87173 years ago Ni kwanini mtu umupeleke ndugu yako kwenda kuonya na waitu wasio muhusu kwanini tusiwakoshe sisi ndugu kwahiyo inamaana gani dah naomba mungu kama niko . ...Expand
  • @
    @mamadestiny84673 years ago Hahaa heti bakora safi chapa na msiwape.
  • @
    @saidswalehe29073 years ago Wakristo hamna kitu kabisa yan mwanaume anamuosha mait mwanamke daah.
  • @
    @jothamekisouke33743 years ago Baadhi ya vtuo vya afya huwa inatokea hyo. 2