Duration 8:8

WANAFUNZI WA UROA NA UBAGO WAAHIDI MAKUBWA NECTA 2019

Published 29 Oct 2019

Ni mwendelezo wa ziara za uhamishaji katika skuli mbali mbali za Zanzibar, ambapo hii ilijumuisha shule mbili za Mkoa wa Kusini Unguja, Shule ya Ubago na Uroa . ZIara ilijumuisha wanafunzi bora kitaifa kwa mwaka 2018 , Nd. Biubwa Khamis Ussi aliyepata daraja la kwanza na alama tatu katika mitihani ya kidato cha sita 2018 na Nd. Hassan Hamid Ussi aliyepata daraja la kwanza na alama tatu katika mitihani ya kidato cha nne 2018.

Category

Show more

Comments - 2