Duration 10:14

Nape Afungukia Ishu ya Makonda Kudaiwa Kuvamia Clouds Media

19 343 watched
0
52
Published 20 Mar 2017

Waziri wa habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye amefunguka mengi akiwa katika ofisi za Clouds alipokwenda kuwatembelea ili kujua kinachoendelea kuhusina na sakata la mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda kudaiwa kuvamia katika ofisi hizo, Nape ameiagiza tume ya uchunguzi iliyoundwa kuchunguza suala hilo kutoa majibu ndani ya masaa 24.

Category

Show more

Comments - 12