Duration 6:6

Polisi 8 Kuuawa Kibiti: Polisi Wajibu Mashambulizi waua Majambazi Wanne

846 181 watched
0
1.5 K
Published 14 Apr 2017

Majambazi walioua Polisi zaidi ya kumi sasa tutawashughulikia kikamilifu na hakuna atakae baki Wananchi mtuwie radhi katika hili mtaona sura halisi ya jeshi la polisi akiongea kwa hisia kali Msato Marijani Mssanzya - PC (Kamishna wa Operesheni na Mafunzo)

Category

Show more

Comments - 272
  • @
    @simbasalumu53947 years ago Tukumbuke hakuna anaependa mwenzake apate shida au matatizo, pia hawa askari wetu waliopatwa na matatizo wana ndgu na familia na watoto ambao wanawategemea, . ...Expand 1
  • @
    @kissakabuje65777 years ago Inauma saana, mungu awape uvumilivu na kuwatia nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu. 9
  • @
    @ruqaiyaibrahim18657 years ago Mmmh mnanikumbusha baba yangu mndogo aliuawa mwembe chai/ dar poleni sana jaman. 16
  • @
    @kassimmsimba91527 years ago Naogopa sana nguvu itakayotumika kuwasaka waha wahalifu naomba hekima busara itumike jazba isitangulie mbele baada ya oparation ninataka watanzania tujifunze . ...Expand 13
  • @
    @leahkazeba58507 years ago Poleni sana wafiwa mungu awe pamoja nanyie. 1
  • @
    @hassanovajunior69727 years ago Poleni sana jeshi la polisi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema palipo na wema peponi ameen. 2
  • @
    @mamymamy89717 years ago Mungu ibariki tanzania poleni sana wanafamilia wote mungu awape subra kipindi hiki kigumu hawa watu ni wabaxa sana ee mungu tusaidie.
  • @
    @seifathumani35247 years ago Poleni sana walinzi wetu wa taifa, kwa msiba mzito wa kitaifa, mungu awaweke mahali pema peponi ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki, wote waliohusika na mauwaji haya ya askari wetu wasakwe kwa gharama yoyote.
  • @
    @godfreykanelela94487 years ago Rip mungu yu pamoja nasi ukiua kwa upanga na we utakufa kwa upanga. 11
  • @
    @davidbendera54807 years ago Poleni ndugu zetu mlioopteza ndugu zenu. Pia poleni sana jeshi la polisi.
  • @
    @shupajunior22827 years ago Polen sna najiuliza ni wapi tunaelekea jamn serikali wapen wananch uhkika mara kutekwa mra wanaotulinda wanauwaw tunakwendwa wapi. 4
  • @
    @sabinamakumbuki33087 years ago Mungu ibariki tanzania poleni sana jeshi la polis.
  • @
    @hussenhassan52877 years ago Ushaur wang kilasilaha yaselikal ingedungwa microcheap for secret ili ikiibiwa silaha isomwekwenye gps uwondokuibiwa. 3
  • @
    @kassimmsimba91527 years ago Kunatatizo kubwa tu, majambazi wa kuua askari 8 na kupora silaha si tukio la kitoto busara hekma zitangulie na sio jazba mimi natoa wito kwa jeshi la polisi . ...Expand
  • @
    @fatumahalifa66237 years ago Innallillah wainnailah rajiun mungu warehemu askar wetu kwan wanajitolea kwa ajil yetu.
  • @
    @hongerakkachawasemewwkzbut49967 years ago Ewe muumba mbingu na aridhi tunakuomba uwalinde nguvu kazi yetu ya taifa kwani hawalali kwa jili ya taifa letu la tanzania amin.
  • @
    @saidwilson65297 years ago Wote walio fariki kwenye matukio haya polisi pamoja na hao majambazi basi mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. 1
  • @
    @nzuna50497 years ago Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi, amina.
  • @
    @mathiaslukas12337 years ago Mungu alitoa mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe. 5
  • @
    @issakasara66367 years ago Innah llilah wainnah illahi rajiun allah awape shufaa ndugu duh allah awajaalie makazi mema inshaa allah. 1
  • @
    @mariachahe70777 years ago Inauma sana poleni jeshi la polisi, r. I. P.
  • @
    @mottofoundationinc.34927 years ago Acheni mikwarawoote wakati mnapambana nao. 6
  • @
    @brunokarangali45967 years ago Watanzania tufunge nakumuomba mungu atuepusha na aya mabaraha ya kutisha, nchi yetu ina istoria moja tu yakupigana vita kwahyo tuombe isijekutokea tena.
  • @
    @petermahoiga78827 years ago Mungu ibariki tanzania, tuepushe na mabaya yote. 19
  • @
    @nassormohamedyhamisimwariz12177 years ago Kwa teknologia iliyopo sasa cm ikiibiwa inasoma gprs unajua ilipo. Kwa nn silaha za majeshi yetu zisifungwe gprs ili zikiingia ktk mikono ya watu wabaya mnajua zipo wapi kwa muda mfupi baada ya tukio?
  • @
    @veronicalucas5807 years ago Duu tumeumia sana kazeni but hao watu watatukost acha maneno mengi kuwen sirius.
  • @
    @edinahjames19767 years ago Jamani huko pwani sasa tumechoka kila ckumola tuhurumie kila cku rufiji.
  • @
    @7840557 years ago Pole sana jeshi la polisi na familia za marehemu. 4
  • @
    @verocletus10827 years ago Mungu awe pamoja nanyi katika mapambano ya kusaka hiyo mijambaz.
  • @
    @florameza95297 years ago Mm nafokiri mcplan kwendamajambazi mciwe mnatangaza mwende kimyakimya mcicema wanackia wanasepa.
  • @
    @varentinemhoja80197 years ago Da r. I. P wapambanaji wetu lkn mungu asaidie na hao majambaz wote waliobaki wauwawe pia.
  • @
    @ashahaji49367 years ago Hili genge litakua limeandaliwa na liko imara mm imeniuma sana maana hawa c jambaz cjui niwaiteje hawa mbwa mwitu! 2
  • @
    @shaffihsiraji31417 years ago Polen saana makamanda hao majambazi usiwaache kabisaa.
  • @
    @mahmoudukusso44887 years ago Kwa kweli hili ni tukio la kutisha na kuhuzunisha, lkn bado nina imani nahusika na jeshi la polisi kwa pamoja tutafanikiwa kama taifa
    mungu ibariki tanzania.
  • @
    @soudmohamed22747 years ago Poleni sana lkn tutaamini vipi km na nyie hao mliowauwa ni majambazi kweli au mmeamua kuua raia wasio na hatia?
  • @
    @tembaapriscus76407 years ago Poleni xana jeshi polisi kwa kuwapoteza wenzenu. Ushauri wangu kwa uma ni kwamba ulinxi ni watu sote si kwa askari tu. Tunaomba ushirikiano kwa rai wema kutoa taarifa punde aonikanapo mtu ambae unawasiwasi nae.
  • @
    @allyfaraji64727 years ago Mimi naona ao wanaoua wanatumiwa na watu frani. Ila ipo siku watafahamika akina nani wanawaandaa watu magaidi.
  • @
    @sakinandoile47587 years ago Mmmh. So sad amani ya tanzania iko wapi? Walinda usalama wanauawa je wananchi tusio na mafunzo! So sad.
  • @
    @johdefinnest19287 years ago Muuaji akifiwa hulia machoz halis na sio bandia mlishaambiwa muwe mnafnya kwa kitendo cha harakaharaka. 2
  • @
    @coutinhofanaka28397 years ago Mnastahili kupewa pole, ila punguzeni ubabe kwa raia maana inafika wakati tunashindwa kujua kama mpo kwaajili ya ulinzi wa raia au mpo kwaajili ya kututesa.
  • @
    @omaryabdalah20447 years ago Poleni ndugu jmaa na watanzania wengu kwa vifo vya askari wetu. 3
  • @
    @derickcowly66817 months ago Laana ya mbarikiwa inaanza na ile yangorongoro na bandari.
  • @
    @jerrysonpontian74297 years ago I trust global tv, sorry for the families who lost their lovely one dr pcs.
  • @
    @masumbukosiyougomvi79007 years ago Watanzania pollen sana. Inauma sana watz baaz kushangilia askari kuuliwa? Ama kweli mtu huvunja utu wake mwenyewe.
  • @
    @jazirshabanishabani69627 years ago Raia wangapi ambao wanakufa kwa kuuliwa na mapolisi lakini hamshughuliki leo mmeguswa mnaanza kusema asakari 10 kwa raia 50 wapi ambao wanauchungu kati ya jeshi la police na raia muache ujinga. 7
  • @
    @hamisiseif75627 years ago Poleni sana askariwetu mungu yupo pamoja nanyinyi ila kwatukiohilo ndo mujifunze kwamba jambazi c mtuwakumchezea nyie mukiwaona majambazi gonga lisasi tu mpaka washike adabu.
  • @
    @daimavlog7 years ago Polis wana smg wanatekwa
    na kuuwawa dah!
    1
  • @
    @nassorozawiya57787 years ago Polisi 7huyu aliye andika heading inaonekana c mtanzania.
  • @
    @aliomarbakar69247 years ago Mimi nataka niwaulize polisi mpaka jambazi anamiliki silaha ninyimkowap laiya hawezi milikisilaha kwahiyo bas mnawajua vizuri mshindwe tu kuwakamata.
  • @
    @derickcowly66817 months ago Amna chochote kazi yenu ni kuwaoneya upinzani na wasema kweli.
  • @
    @rosemarybenjamin58667 years ago Ni more than pain aise polen. San nchi yangu tz police kwa ujumla na wafiwa, yan mkikamat ao ni kichwa kwa kwichwa iyo itakua tu migaid. 5
  • @
    @mamarama63607 years ago Duuh mtihan yaan binaadamu sasa hatuna iman tena na mkoa wa pwan.
  • @
    @swedijuma78737 years ago Inasikitishaxana poleni sanapolisi nalazima muhakkishe mnawatia mbaroni ikiwezekana naowauwawe.
  • @
    @kotadapotar509410 months ago Kumbe mulikua mnawajua walipo ao majambazi mpaka wamefanya tukio ndio mnasema mtawafwata uko walipo mnapajua siku njingi sehemu zao.
  • @
    @josephmihambo48727 years ago Watafutwe popote walipo wakamatwe kwa njia yoyote ile wapatikane. 20
  • @
    @maftahmusa95137 years ago Msiba mkubwa inanikumbusha walivyo dunguliwa raiya vijana wadogo kwa risasi na kupoteza maisha pale mwembechai na mwanafunzi chiku adhumani akitokea shule kupigwa risasi mpaka sasa kilema,
  • @
    @katefarmlwafu11567 years ago Poleni sana, mungu atunusuru na majanga haya. Kiukweli mm binafsi imeniuma sana tena sanaa.
  • @
    @bosiabu66077 years ago Maneno tu yaifai jitahidini sana kuangamiza uhalifu fanyeni operation ondoa silaha haram naona mtatoboa.
  • @
    @nipolive..27457 years ago Nashndwa kujua niuzembe kiasiga mpaka wore kwa pamoja wauwawe iv kama pols wote hao wameuwawa. Vp. Kuhusu wana nchi ulnzi wao.
  • @
    @zulehaabubakar3574last year Nikweli hatukubishii afande watafuteni muwauwe tu nawao.
  • @
    @immamlowe7347 years ago Walioect kama police same dhalilisha jeshi.
  • @
    @mtashigalaxy30586 years ago Askari waliapa kua watalitumikia taifa lake kwa hali yoyote iwe ya shida au raha na wanaslogan yao kwamba walizaliwa cku 1 na kufa itakua n cku 1 chamcng makamanda pigen kaz kuhakkxha mnaleta aman tz,
  • @
    @hongerakkachawasemewwkzbut49967 years ago Jamani hao watafutwe mpaka wapatikane maana wanatumalizia nguvu kazi yetu ya taifa.
  • @
    @masseanadir29047 years ago Wanaua watu hata wasiohusika kwa kisingizio cha kulipa kisasi.