Duration 11:29

RC MWANZA ALIVYOACHA OFISI NA KUKAA NJE KUHUDUMIA WANANCHI

18 966 watched
0
67
Published 6 Sep 2017

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella katika kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Mwanza aliamua kutoka nje ya Ofisi yake na kusilikiza kero na matatizo ya wananchi waliofika Ofisi kwake huku akiahidi kuwafuata wananchi wa Wilaya ya Ilemela kutatua migogoro ya ardhi na matatizo mengine.

Category

Show more

Comments - 21
  • @
    @veronicasarvatory95167 years ago Mungu akupe maisha marefu zaidi hapa duniani amina. 1
  • @
    @idrisarashidi40467 years ago Safi sana mheshimiwa mongela kwa kazi nzuri. 1
  • @
    @mamafranjovlog727 years ago Kazi nzuri sana baba mungu akubariki kusaidia waitaji. Haahaa ila mwisho kanivunja mbavu eti alokufa aje na cheti cha kifo alohai aje.
  • @
    @faidamanoni22857 years ago We fanya kazi wachini yako hawajirlewi. 1
  • @
    @alfrednziku90757 years ago Wakuu wengine wote wa mkoa waige mfano wa mkuu wa mkoa wa mbeya (amos makala) ambaye ana ratiba rasmi kwa mwezi mzima ikiwemo ratiba ya kuonana na kuwasikiliza hii aliipanga na anaifuata tokea alipoteuliwa. ...Expand 2
  • @
    @magorimagori92645 years ago Huyu ndo jembe letu lana kukuombea sana. Piga kazi brother.
  • @
    @wilsonmasero59767 years ago Mkuu wa mkoa huyu huwa namuelewa sana ana busara sana. 1
  • @
    @adrianmallyakibona.3527 years ago Wananchi kama wamekata tamaa hivi. Najiuliza mkuu wa mkoa hana watendaji mpaka a attend mtu mmoja? 2
  • @
    @jonasmjoseph91637 years ago Utaratibu angeliwaita ofisini, kazi zuri ila utalatibu sio mzur ongera mkuu.