Duration 1:24

ZANZIBAR; KUSAHAU CHANGAMOTO YA USAFIRI.

107 669 watched
0
311
Published 15 Dec 2018

Usafiri katika kisiwa cha Zanzibar kwa sasa ni rahisi baada ya kampuni ya Zanzibar fast ferries kuwekeza katika usafiri wa majini. #Zanzibar #Usafiri #Baharini #zanzibarfastferries

Category

Show more

Comments - 42
  • @
    @maulidsaleh17945 years ago Hongera wazanzibar kwa kupata meli mpya mung aijalie kila la kher ktk safari zake. Ameen. 2
  • @
    @samsungjsevenprime57176 years ago Nyc mungu aijaalie iwe meli yenye kheri na sisi wa znz sote kwa jumla amiin. 10
  • @
    @salehsuleiman12185 years ago Masha allah vzr sana allah akupe wepes.
  • @
    @gulionicity27646 years ago Nice.Competition muhimu.bei zipungue.Allah Barik Vigor pia. 8
  • @
    @zplusmediatz6 years ago Ahsante sana mhe. Kweli tumepata muarubaini wa usafiri maana hata bei ukipunguza itakuwa safi tutawakimbia azam na ajipange upya.
  • @
    @samsungjsevenprime57176 years ago M/mungu atujaalie tusafirie meli hiyo kwa raha na salama bila usumbufu wowote amiin. 6
  • @
    @khamisame46495 years ago Mm nawaomba kwaza wakaijaribu mkondo wa nungwi. 2
  • @
    @salehkhamis99785 years ago Hongera turkey" sasa tuta ondokana na usumbuf wa usafiri tushachoka maana iliku mwanzo ticket ukikosa kukata leo ukenda siku ya pili zishapandishwa bei. 2
  • @
    @alihamad60465 years ago Mashallah angalau maana jamaa alikua peke yke anatusokotta balaa na bei zake duh.
  • @
    @ahmadsayyeed29745 years ago Weka pembeni baharesa turki number one kila siku bakhresa alikua anaambiwa apeleke meli wete akasema sijui gati mbovu alipoona tayari mwenzake amepeleka . ...Expand
  • @
    @islamubakarpba95615 years ago Musikufuru bahari haina kiboko mungu wape wepesi wtz wote.
  • @
    @salehkhamis99785 years ago Hongera sana turkey maana baharesa akiona ticket zake zinanunuliwa kwa sana anaanza kutupandishia mabei. 2
  • @
    @gozikongwe27785 years ago Nakumbuka kati ya miaka ya 2007 hadi 2011 mtu aliweza kusafiri kutoka dsm-pba moja kwa moja na unafika siku hiyohiyo (unaondoka pemba saa moja na robo . ...Expand 1
  • @
    @alisaid24104 years ago Mbwa wa bakhresa wanajiona keki wanaringa na vilemba vyao kama popo utadhani huyo boss wao ndo kawatuma wawe nakiburi wanajiona wako kwenye qatar. 1
  • @
    @hamzahaji1755 years ago Nauli zipunguzwe atumbandi tena makherasa ajali wanyonye.
  • @
    @salehsalhamselem32855 years ago Inabeba abiria zaidi ya alfu moja ikizama mnasema abiria mia 2 ndio ilichukua p.
  • @
    @abdulhamidy89205 years ago Apo kidogo patam maana naona azam katawala bahari.
  • @
    @ismailjuma36925 years ago Kiukweli shida ni usafiri kutoka pemba to dsm au dsm to pemba kwanini pasiwepo na usafiri wa cku moja bila kulala kwenye meli ukafika cku ya pili kwani pana umbali gani? 1
  • @
    @suleimanally58705 years ago Hmed maulid wewe mjinga kweli au ndoo katika mitu ambayo haina heri hapa duniani nakesho ahera nawe nimmoja wao wewe shida zinaondoka ila kwa ujingawako . ...Expand 1
  • @
    @fugameza60114 years ago Powa isiwani tv hilo siyo kweli upo ulipo wewe tuu mbona hatuja kusikiya vitambulisho kule wanaliyaa nenda nawe upo tuone kama upo au upo hoii.
  • @
    @kingayo9995 years ago Ningependa meli hii ifunge gati bandari ya wete ingependeza zaid.
  • @
    @ahmadsayyeed29745 years ago Weka pembeni baharesa turki number one kila siku bakhresa alikua anaambiwa apeleke meli wete akasema sijui gati mbovu alipoona tayari mwenzake amepeleka . ...Expand
  • @
    @gozikongwe27785 years ago Nakumbuka kati ya miaka ya 2007 hadi 2011 mtu aliweza kusafiri kutoka dsm-pba moja kwa moja na unafika siku hiyohiyo (unaondoka pemba saa moja na robo . ...Expand 1
  • @
    @suleimanally58705 years ago Hmed maulid wewe mjinga kweli au ndoo katika mitu ambayo haina heri hapa duniani nakesho ahera nawe nimmoja wao wewe shida zinaondoka ila kwa ujingawako . ...Expand 1