Duration 3:50

NAPE AKATAA KATA: TUTABAKI NA MAGUFULI MPAKA LINI/MLE NDANI KUNA MAMBO/WABUNGE HAWANA UZOEFU

79 152 watched
0
292
Published 8 Feb 2021

#nape #wabunge #bungeni

Category

Show more

Comments - 136
  • @
    @hermansasuri97433 years ago Hakika umejibu swali vyema saana, viongozi wanatakiwa kufanya kazi na sio kuka na jina la magufuri kwenye vinywa vyao, kazi kubwa kaifanya lakini wanatakiwa . ...Expand
  • @
    @ellykibale1903 years ago Mfumo saa nyingine unachukua mda kuwekwa na pia kuna suala jingine la muhimu ambalo ni kubadili tabia ya watu, nalo pia huwa linachukua mda.
    mfano hivyo hoja ya kumuongezea raisi mda inazungumkika, wabunge msiiogope.
    mwl nyerere alipotaka kuachiailijitathmini na kumwomba aongeze mda.
    wananchi wakitaka aongezewe mda tuseme kumi zaidi, cha msingi hapo ni taratibu ufuate. Mda ukifika hoja ipelekwe bungeni waijadili na ikiwapendezasiyo msahafu
    .
    ...Expand
  • @
    @yayananajota58383 years ago Hapa mh amenikosha sana, asante nape umeongea points 100% 10
  • @
    @nehemialikatage73783 years ago Mtazamo wangu ni huu tusivuruge katiba ya nchi kuwa ajili ya takwa kuwa kifungu cha raisi kuongezewa muda. Hapana tusifanye hivyo badala yake tuweke musingi . ...Expand 1
  • @
    @georgealphonce1003 years ago Nape, hapo umeonesha ukomavu wa kisiasa, 6
  • @
    @tumainirichard62983 years ago Nape unajua kujibu kwa akili sana. Big up. 10
  • @
    @praisesamson82983 years ago Kama umegundua anamaa nisha katiba nzr ndyo tunahitaji na c kumuongezea muda coz hataishi milele ila katiba ata akifa itadumu gonga like kwangu. 5
  • @
    @alanusrespicius17963 years ago Hili swala la wabunge wageni mbona mnalisema sana? Kumbukeni ninyi mnaojiita wakongwe ndo wapigaji, wahuni na majizi wakubwa na ndo mmetufikisha huku tuliko. . ...Expand 3
  • @
    @sheryphamwenevalley61243 years ago Km rais miaka 10 awache madaraka na nyinyi pia wabunge wa kudumu mliokaa hapo zaidi ya miaka 10 pia muache atuwezi kuwa na wabunge wa kudumu, na mishahara mikubwa wakati watu wa hali. Ya chini wanakufa njaa. 2
  • @
    @denismassawe92553 years ago Huyu si ndio yule alimwitaga rais mshamba akaenda ikulu kutengeneza na rais! 2
  • @
    @yohanaobeth15583 years ago Nape umeongea vizuri sana! Inatakiwa kutengeneza mifumo. 8
  • @
    @mariambeautysonghuseni95492 years ago Kwanza hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa habari hongera sana.
  • @
    @happinessmwenda27733 years ago Nape siku zote uwa uko vizuri. Vijana kama wewe bado ni wachache. 3
  • @
    @raydeus81923 years ago So jamaa alijua dhahili dar ukiuwa kwa upanga lazima na ww ufe kwa upanga asee.
    hakika mungu atatenda.
    1
  • @
    @eischerschwederm78763 years ago Sawa mfumo kuwepo lakini speed hii kwa wakati huu. Ikiwa mwenyezi mungu kampala thai tunahitaji. Kazi anayoifanya ni ibada hatutaki mwingine zaidi ya id="hidden6"mzima atakuwatu atakenzima hakuna kama magu. Ndio rais pekee akiongea hakuna kibakatunamtaka watanzania sio suala la mbunge magufuli ni mali yetu. ...Expand 1
  • @
    @stevenmwaisunga50903 years ago Umeongea kwa hekma japokuwa kuna vibaraka humu wanakupinga. 6
  • @
    @ndogoroedson94383 years ago Nape uzoefu bila vitendo hakuna kitu! Mnaweza kuwa mmekaa sana bungeni lakin ni kwa ajili ya matumbo yenu! Kwa upande wangu bunge halina ugeni ili mradi ww ujue kuzisoma kanuni na sheria za bunge basi huo uzoefu hautusaidii. ...Expand 3
  • @
    @venancemalima11813 years ago Uzoefu siyo tija tunahitaji wabunge wanaolenga masilahi ya wananchi na sifor life kurakitambo. 2
  • @
    @nabii-zc1hm3 years ago Japipo hoja yako yakuongeza mda raisi unafeli tujadili mambo ya msingi kweli njombe hamna kitu. 1
  • @
    @KS-iw7qv3 years ago Muhimu kuweka mifumo ya kimkakati ya kulinda na kuendeleza aloyatenda jembe jpm. Tukilazimisha desturi yetu ya kubadilishana madaraka kwa upendo tunamuhiji tumtumie kwa mawazo na fikra zake basi tusimchoshe kama wa jirani zetu. U. ...Expand 2
  • @
    @thekingbudah37113 years ago Tanzania tunakwenda kama chini tu mpaka wasaau rushwa bado wanapiga debe mpaka miradi hiishe.
  • @
    @mnegaamina60853 years ago Mi ni ccm lkn naomba iishie hiyo kumi tu.
  • @
    @rashidiwaiti66863 years ago Na nuie hukoo bungenii msituchafue amakizee miaka yakee basi nchi ganii sasa tunakaa kama wagenii.
  • @
    @rashidiwaiti66863 years ago Wanaenufaikaa na kofii yetuu ndioohukoo mtalindwaa sanaa mpaka choonii.
  • @
    @gracemairusya29503 years ago Na yeye aachie ubunge tumechoka domo lake. Ndo walioturudisha nyuma. 4
  • @
    @ananiangonyoka43093 years ago Wewe una akili sana nape tusiwe kama uganda.
  • @
    @drpeter37603 years ago Siku iz nape unajitahidi kukosha watu! Sio bao la mkono tena.
  • @
    @lirastanley3903 years ago Hv leo mkiongeza muda wa rais je baada ya huyu mwingne nae akiona aliyemtangulia aliwah kufanya hvyo unafikirwa siku italeta tamaa baadae kuiingiza nchi kwenyesana jpm kwa kukataa mpango huo ila kauri ya polepole inanitia shaka kidogo. ...Expand 3
  • @
    @bizzboy54903 years ago Sio kweli hili bunge mtachapana
    wenyewe ngoja siku zisogee.
    1
  • @
    @ibrahimhemedi90793 years ago Akuna mfalme wa milele mifumo ndio inayotakiwa that good points. 2
  • @
    @rejobu97233 years ago Huyu nae ni kati ya majizi wario jipenyeza kwenye kundi la vipofu. 1
  • @
    @hatibumringo59643 years ago Naam! Hatuwezi kurudi nyuma badala ya kusonga mbele, muda ukifika asepe.
  • @
    @denismassawe92553 years ago Nape uko sawa lakini ndani ya moyo wako sidhani kama uko vzr hata kama rais mwenyewe angetaka kuongezewa muda sidhani kama wewe ungekubali maana si unakumbuka wenyewe ile issue ya wewe kumwita mshamba kipindi kile! 2
  • @
    @hamedabashir93 years ago Mbona yerere alikaa sasa nyi mbona munawivu kwan jpm akikaa madarakani itakuaje. 2
  • @
    @learningkiswahili5daysstre3673 years ago Nape mpigaji kama wapigaji wengine yeye na rafiki yake january. Walifikili nchi ya babazao mimi kama kijana sina himani nao. 15
  • @
    @happinessmwenda27733 years ago Hata mimi nataka mifumo iwekwe ktk katiba kazi aliyoifanya rais ni kubwa atafurahi zaidi akiona yanaendelezwa wakati yuko pembeni.
  • @
    @allymsuya66553 years ago Ccm sijui wakoje? Sisi tusio wanasiasa tunaona ndani ya chama chao chenyewe kuna watu wengi tu wanaoweza kufanya mambo makubwa na kwa mitindo salama zaidi . ...Expand 1
  • @
    @hekimatakatifu84633 years ago Nibora muamuae nyie kulingana na matakwa ya katiba ila akiamua mungu kuanzia nyie adi uyo mnae sema aongezewe muda mtajuta maana mkono wa mungu utakua juu yenu.
  • @
    @erestizacharia47583 years ago Wanaodai rais kuongezewa mda hawana akili za kujitegemea, cha muhimu urais tanzania ufanywe kama taasisi atakayemrithi magu ayaendeleze miradi itakayo . ...Expand
  • @
    @zefamange72813 years ago Huyu ilikua razima akatae kwasababu ni mpizani toka mwanzo. 2
  • @
    @harunimfaume62803 years ago Nakuona rais mtarajiwa naiman na ww nape utaikombomboa kusini. 2
  • @
    @matthiasmageni68933 years ago Misingi huwa inabomolewa tu cha msingi aongezewe muda lakini apunguze kodi au aondoe kabisa kwawadogowadogo maana biashara zinakufa sana. 3
  • @
    @mohamedhaji22003 years ago Misingi bila mtu ni zero. Kwani misingi haipo? Tokea 1964 misingi imeekwa. Individual behavior ina mater sana. Aongezeww.
  • @
    @muhammedimandai96713 years ago Wasukuma wote wanataka magufuli aendelee mpaka mwisho wa maisha yake.
  • @
    @harunimfaume62803 years ago Muheshimiwa nape vp kuhusu kuzifua fua meri za kwenda mtwara au kununua meri mpya au japo mpelekee treni mtwara lindi masasi.
  • @
    @kakorejrboyz64473 years ago Safi sana nape misingi ndio hatuna swala sio mtu swala ni misingi ya kulinda vyaketu kwasababu tukisema mtu tanzania katiba yetu haisemi mfumo wa kifalume . ...Expand 2
  • @
    @msangazimsangazipapaandomb87613 years ago Upumbavu mtupu. Huyu ni miungoni mwa waliopora jimbo kwa kujifanya kapita bila kupingwa mbwa huyu! Anajipendekeza apate uteuzi. Rubbish gay! 1
  • @
    @abuumkumbalu91233 years ago Mawazo ya huyu jamaa na ya kwangu yana fanana swala sio kuongeza muda swala inabidi tuweke mifumo mizuri kwa kizazi na kizazi.
  • @
    @thekingbudah37113 years ago Nape kashapinga ujenzi wa bwawa la umeme jurias nyerere mpaka mapovu yanamtoka alipewa pesa akawa anawafanyia kazi wazungu waenderea kupiga dili. 5