Duration 2:13

Shomari Kapombe alivyotinga mazoezini akaa kwenye gari dakika 30

12 601 watched
0
47
Published 3 Jun 2019

Beki wa klabu ya Simba na kikosi cha timu ya Taifa shomari Kapombe ameibuka mazoezini jioni huku kukiwa na taarifa alipata majeruhi ya kifundo cha mguu wakati akifanya mazoezi na kikosi cha Taifa Stars. Kapombe alionekana akiwa mzima akitoka uwanjani kuangalia mazoezi ya wachezaji wenzake huku akitoka uwanjani kwa hasira na kuingia kwenye gari lake huku skinhead na simu kwa muda mrefu. Tutaendelea kukujuza kinachoendelea kuhusu beki huyo wa Timu ya taifa huku taarifa zikienea kuwa hajapata majeruhi yoyote na asubuhi siku ya Mei 3 hakufanya mazoezi na wachezaji wenzake na alifanya mazoezi yake binafsi aliyopangiwa na kocha wa viungo wa klabu yake ya Simba SC. _ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. ******************************************* Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: /c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+ harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/

Category

Show more

Comments - 10