@khadijaangore44084 years agoMasha allahfii. Allah atuongoze sote jamii islam kwa mawaida mema.
@
@halimandune7317last yearAsalam alykum warahmatulahitasbihi hpa lkn nikaletewa kitu tofauti, plz nisaidie kiaraabu inaitwaje ama unipigie picha niwaonyeshe hao.
@
@fatmakhanii16765 years agoNnao mtihani wa kuchukiwa bila sababu hata nikifanya mema kiasi gani leo nimepata jibu. 2
@
@noory69105 years agoMashaallah nasi tunakupenda kwaajili ya allah shekhe letu. 3
@
@muhammadahmedaliyyu38545 years agoBaaraka llahu laka fii ahlika wa maalika jazakm allah khayri kwa faida muhimu sana. 1
@
@rukiaabdullahi1784 years agoAsc sheikh nikama unaniongelea mimi kwa sababu maisha imeshida nilikuwa najenga gorrofa niliwacha nusu anika gojeka vibaya mpaka nimewatoroka watoto wangu niabiye infants nini. 1
@
@marymusi82355 years agoSheikh othman umeongea maana kila kitu kinachofanywa basi mitandaoni. 2
@
@jumwamohammed42234 years agoNiliota mwangaza mkali uki ni mwilika ni nn maana yake.
@
@mahmudmehala90344 years agoMasha allah kwa mawaidha mazuri allah akuzidishie.
Related videos for HILI NDILO LILILOKUTIA UMASKINI NA MIKOSI - SHEIKH OTHMAN MICHAEL:
kwa mawaidha mazuri
allah akuzidishie.