Duration 3:44

LALA KITOTO CHA MBINGU - CREDO MBOGOYE - TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

22 228 watched
0
115
Published 16 Dec 2019

Wimbo: Lala kitoto cha Mbingu Mtunzi: Credo Mbogoye Organist: George Bingi Kanisa/Location: Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambiya Asili, Mavurunza Maneno ya wimbo Lala Kitoto cha Mbingu, Lala Kitoto cha Mbingu x 2. Sinzia Kitoto sinzia Malaika wa Mungu watakutunzia ( Watakutunzia ) x 2. Mashairi: 1. Lala Kitoto cha Mbingu sinzia Kitoto cha Mbingu, Lala Mwana wa Mungu 2. Maria naye Yosephu wanamtunza mtoto, Lala Mwana wa Mungu 3. Lala kitoto cha Mbingu uliye Mkombozi wetu, Lala Mwana wa Mungu 4. Lala kitoto cha Mbingu Masiha Mwokozi wetu, Lala Mwana wa Mungu

Category

Show more

Comments - 16