Duration 4:2

MASIKINI MANARA UTAMUONEA HURUMA ALIA KAMA MTOTO ''MIMI MASIKINI WATANIUWA INATOSHA MPAKA MO ANA..

15 342 watched
0
99
Published 22 Jul 2021

MASIKINI MANARA UTAMUONEA HURUMA!! ALIA KAMA MTOTO ''MIMI MASIKINI WATANIUWA INATOSHA MPAKA MO ANA..

Category

Show more

Comments - 58
  • @
    @twalibabubakar28153 years ago He deserve some respect he have done his best. 1
  • @
    @mwetaiza50243 years ago Karibu sana yanga uungane na mzee mpiri.
  • @
    @duniawadunia48243 years ago Mzee mpili ameanza kazi yake sasa pole mzee wetu ila allah atakulipa. 2
  • @
    @shetabody4463 years ago Pole sana kaka yagu hajimanara mungu halali anaona mwenyezi mungu atakulipia.
  • @
    @justineonline65563 years ago Dar? Inasikitisha sana, pole sana mkuu, 1
  • @
    @D-Man.B-Free3 years ago Pole saana, mzee mpili kazi imeanza. Bado tarehe 25,
  • @
    @merryjoseph13823 years ago Manara sas umeelewaa maana ya tenda wema uende zakoo, dah pole sana. 2
  • @
    @anthonysemiono35793 years ago Hii sauti imeghushiwa bhana. Ngoja tarehe 25 ipite kwanza tutajuwa vizuri!
  • @
    @richardmakene77803 years ago Pole bro dunia haina haki bali kwa mung tu kka inauma lkn ipo xku.
  • @
    @brownenas6033 years ago Mnara huwa haangalii kesho yake hiyo ni laana kwa kutukana team kipenz ya babaako bila kujar, pole sana binafs nakuonea huruma sana kwa mtu mleamavu akiwa analia, 1
  • @
    @jabually16583 years ago Anae uwaa ni muongu kaka wea achaa kazi tu kaka upumzike na familia yako.
  • @
    @maidamwaipopo96033 years ago Sasa unalia nini wee ndo ulie ichagua timu ya wanaviranga.
  • @
    @kazkaz19433 years ago Ila haj we ndo ulikua unajitapa una pesa marafiki zako matajir ahahahahah yamekukuta.
  • @
    @Userog2543 years ago Ila ungejikaza kaka ilimradi lipite hili kwanza la 25 jmn mtawapa mwanya wa kutufunga tn ss, maana waamuzi watachezesha hovyo kisingizio wametumwa na hajji.
  • @
    @mwantumukawambwa87013 years ago Hunalia ww maneno yak kunya juu ya yang sasa rahan ina kutafuna.
  • @
    @esthermikoma98003 years ago Kaka pole sana mungu atafungua milango mingine bado tunakupenda kaka hata sisi tunalia nyamaza kaka yetu kipenzi ncha simba bado.
  • @
    @selinalukwembe73633 years ago Achana nao kabisa kama unajuwa wazulumaje waache kweli watakuwekea uga tuna mjuwa sn moo.
  • @
    @subiraibrahim81003 years ago Matusi alokuwa akiwatukana watangazaji ndo malipo yake.
  • @
    @rajabujohn45733 years ago Haji usiteseke toka tuachie timuyetu unalianinisasa simbakwasasa inamambo yakufanya usajili mechi ya fsinali nk ivi haji na mo weunafikili simba watachangua nanii no mo.
  • @
    @levinachristopher51963 years ago Du! Pole sana kaka haji yani binadam, hawa aminiki hata ungemtawaza haja bado hata kuwa na shukrani usilie kaka ila kaa nao mbali wasikuuwe huhai ni id="hidden4" muimu sana kuliko vyote vipitavyo duniani ukihama simba mimi pia nina hama tupo nyuma yako na tunaelewa ulivoipigania simba kakaa pole sana. ...Expand
  • @
    @mshantazuzu50933 years ago Mzee mpili embu punguza vitu vyako vinatosha watauwana awa wenywe kwa wenywe.
  • @
    @roseuwambe8933 years ago Makubwa wewe bingwa wa matusi leo wa kulia kama mtoto endelea kutukana bana usilie hawakuwezi.
  • @
    @fadhilimwasumle1243 years ago Acha kutafuta huruma ya mashabiki, kama vp andika barua ya kuacha kaz sio kuria mitandaon.
  • @
    @habibakhalfan10653 years ago Mungu_halipi_ujinga_unaacha_kulilia_kheri_unalilia_mpira_uwiii.
  • @
    @power.truckxd99573 years ago Sasa manara siutafute kazikulipwa kidogo unalia nini.
  • @
    @ramadhanichollo69913 years ago Baada ya dhiki faraja njoo yanga lisemwalo lipo hufi kwa ahadi njoo kwa maskini wenzio yanga oyee.
  • @
    @jeremiahcharles60273 years ago Huyu babra nae hafai kabsa, hajui manara kaitoa wap simba. 3
  • @
    @levinachristopher51963 years ago Du! Pole sana kaka haji yani binadam, hawa aminiki hata ungemtawaza haja bado hata kuwa na shukrani usilie kaka ila kaa nao mbali wasikuuwe huhai ni id="hidden8" muimu sana kuliko vyote vipitavyo duniani ukihama simba mimi pia nina hama tupo nyuma yako na tunaelewa ulivoipigania simba kakaa pole sana. ...Expand