Duration 1:15:

MADHARA YA VYAKULA MTU ANAVYOLISHWA NDOTONI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

44 364 watched
0
440
Published 14 Jun 2021

Shetani hupenda kutumia chakula kwenye ndoto kuwalisha watu maana ili aweze kupata uhalali na nguvu ya kukutesa ni lazima kuwe na kitu chake ndani yako.Mara nyingi hutumia nyama maana ndani ya nyama kuna damu na maneno anayoyatamka juu ya hicho alichokulisha huwa hayapotei,huwa yanasubiria wakati sahihi katika ulimwengu wa mwili ili liweze kutimia. Kuna baadhi ya watu kuna ndoto za vyakula kila zikija kwao basi kama alikuwa anategemea kupata upenyo katika sehemu fulani ya maisha yako basi ndio hautokei tena.Kama ulikuwa unatarajia kupata kazi,ukiota tu ndoto hiyo basi na kazi hupati tena. Leo Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando alitufundisha neno la Mungu juu ya madhara ya vyakula hivi,lakini pia kulikuwa na maombezi na mkono wa Mungu ulikuwa mkuu sana kufungua watu. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ

Category

Show more

Comments - 67