Duration 1:53

‘Jamii ilinishangaa kwa kumuoa mlemavu mwenzangu’

1 818 watched
0
18
Published 1 Oct 2020

Nchini Tanzania, jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika kwa upande wa serikali na hata mashirika yasiyo ya kiserikali ili kukabiliana na unyanyapaa uliopo dhidi ya watu wenye ulemavu. Hata hivyo, baadhi ya walemavu wanasema, changamoto kubwa wanayokabiliana nayo ni katika kutafuta wachumba, hali iliyomfanya Nyange Bobo ambae ni mlemavu wa viungo kuamua kuoana na mlemavu mwenzake Bi.Pauleta Mbisho. #bbcswahili #Tanzania #ulemavu

Category

Show more

Comments - 6