Duration 3:23

Shirika la Ibo lawafikia watoto wenye Ulemavu Ipogolo

71 watched
0
3
Published 27 Mar 2021

shule ya msingi ipogolo kitengo cha watoto wenye mahitaji maalumu mkoani Iringa kinahitaji mabweni kwa ajili ya watoto wenye ulemavu ili kupata urahusi wa kuwahudumia watoto hao. Ombi hilo limetolewa na Mwalimu Mery Isaac Mkwemwa walimu wa kitengo cha watoto wenye mahitaji maalumu Ipogolo wakati akipokea vifaa kwa ajili ya watoto hao kutoka katika shirika la Italia la Ibo. vifaa hivyo ni pamoja na viti mwendo 4 standi 2,na fimbo za kutembelea ambapo amesema kuwa vifaa hivyo vitarahisisha kutoka majumbani kwao kufika shuleni. Amesema kuwa endapo serikali itamalizia mabweni hayo itasaidia kutoa huduma bora kwa watoto hao.

Category

Show more

Comments - 2