Duration 2:6

Jumuiya ya afrika mashariki yakubali ombi la jamhuri ya DRC la kuwa mwanachama wake wa saba

7 532 watched
0
77
Published 22 Dec 2021

#Trending #KTNNews #KTNPrime Marais wa nchi za jumuiya ya afrika mashariki wamekubali ombi la jamhuri ya kidemokrasia ya congo (DRC) kuwa mwanachama wake wa saba. Hatua ya wakuu wa eac imeafikiwa wakati wa mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao leo baada kuhitimishwa kwa zoezi la uhakiki lililoongozwa na katibu mkuu wa eac, Dk. Peter mathuki, kati ya juni na julai mwaka huu. Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. KTN News Live stream - Nairobi, Kenya Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Category

Show more

Comments - 20