Duration 4:55

ZABURI JUMAPILI YA 5 YA PASAKA

526 watched
0
18
Published 1 May 2021

WIMBO WA KATIKATI: Zab. 117: 1, 8-9, 21-23, 26, 28-20 Kwako, Bwana, zinatoka sifa zangu katika kusanyiko kubwa Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao Wapole watakula na kushiba Wamtafutao Bwana watamsifu Mioyo yenu na iishi milele. (K) Miisho yote ya dunia itakumbuka Na watu watamrejea Bwana; Jamma zote za mataifa watamsujudia Wakwasi wote wa dunia watakula na kushujudu, Humwinamia wote Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake, Wazao wake watamtumikia. Zitasimuliwa habari za bwana Kwa kizazi kitakachokuja, Nao watawa-hubiri watakaozaliwa haki yake, Ya kwamba ndiye aliyefanya. (K)

Category

Show more

Comments - 3