Duration 10:6

KISHIMBA BUNGENI TENA, ASEMA UCHUMI WETU KAMA TEMBO ALIYEBEBWA NA SISIMIZI AWAVUNJA MBAVU WABUNGE

50 844 watched
0
343
Published 19 Jun 2021

June 18, 2021 Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba akichangia mapendekezo katika hotuba ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22

Category

Show more

Comments - 111