Duration 9:10

NYUMBA INA MAAJABU,HAKUNA ANAEWEZA KULALA USIKU, MOTO, NA VITIMBWI

53 313 watched
0
296
Published 30 Jul 2019

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online cc: Sadia Rashid cc: Masoud Maganga cc: Hairath Haroub Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

Category

Show more

Comments - 209
  • @
    @aby211115 years ago Quran has to be reading 24/7 and at night play a cd of surat al baqara the whole night. 20
  • @
    @asmaAsma-oi1pm5 years ago Subbhanaallah mambo haya zanzibar mengi sana ni jamii ya husda ,ila Qur-an ni mlinz wa kila baya na ukiamini pia usipoamini hata umalize msahafu kazi bure,,iman ndo humponya mtu, 7
  • @
    @haidarali68395 years ago Astaghafir Allah iyo nyumba iwekwe Qur an masaa 24 wafunguwe madirisha suratul bakra nzur sana sio mpaka watu waende kusoma redio pia inasaidia kitu chochote ukiamin Allah anakusaidia ukiamin qur an itakusaidia hakika itafanya kaz hakuna kisichotibika kwenye qur an .🙏🏼 ... 25
  • @
    @nureyna6295 years ago Duh, hii movie c nimeiangalia usiku, nikiwa na headphone safi sauti nazisikia vizurii, c kuogopa huku sasa, Allah awaondoshee huu mtihani, atuepushe na sisi. 9
  • @
    @lucylucy1955 years ago Simchezo kesho kwa mungu watasemaje hawa watu'siwapendi Sana wachawi wanaludisha nyuma maendeleo ya watu 8
  • @
    @zainabali20415 years ago Subhanallah Allah awafanyie wepes, awaangamize hao Kama ni mashetani ama watu!! Inackitisha kwa kweli 17
  • @
    @abdoulamour80615 years ago Ni muhimu Kusomwa suratul baqara ktk hiyo nyumb 33
  • @
    @kanuhummer64855 years ago Niko Kenya hatahuku rafiki yangu alikuja kunielezea km hii stori wakibakisha chakula kinaliwa usiku, miferej ina funguliwa usiku nikamwambia laleni na quran akaniambia wanaeka lkn wakishtuka usiku sana imezimwa mpaka juzi amekuja kuniambia amehama,daah m/mungu atuepushie mbali ... 12
  • @
    @MrKhatibu5 years ago Poleni sana, hii tabia ya shirik imezidi Zanzibar kwakweli 4
  • @
    @khayratmuhamed67305 years ago SUBHANAALLAH . mungu atulinde na shirk na washirikina 3
  • @
    @rahmahussein40195 years ago Mtihani wallahi , Inshallah M/mungu atawafanyia kila wepesi . 6
  • @
    @zainabali20415 years ago Duh! Subhanallah..Dunia yatisha !!
    Shukran ktv hakika hii ni fahari yetu 🙏
    4
  • @
    @hassankombo83735 years ago pole sana kaka allah ata wafanyiya wepesi washirikina ni watu waajabu hata Allah kawachukia Allah atayaondosha yote hayo amini 3
  • @
    @bintsalimalbimany53405 years ago jaman 😢binaadam wabaya watu utawaskia Dunia imehariboka lkn la Dunia iko vile sisi binaadam ndio tumeharibika jaman😢Jaman tumuogopen Allah azza wajalla polen sana ndug zangun Allah yuko pamoja na nyinyi Qur-an ni muhim dah!! Imwniuma sana Ila sina zaid yakukuombeen Dua ... 1
  • @
    @arqamibnarqam.71855 years ago Innaalillah wainnaailayhi raajiuun.Yaa rabby tunusuru siye waja wako. 7
  • @
    @abuuqaasim48155 years ago weka quran kwenye flash kisha iweke quran hadi asubuhi anza na surat al baqara ndio vizuri zaidi ama kuhusu vyombo ukifunga vyombo vyako sema bismillah rahmani al rahim ,na milango ya nyumba pia funga kwa bismillah rahmani al rahim ... 7
  • @
    @maryosward18795 years ago Mwiteni Yesu yy ni jibu yote yalikwisha msalabani
  • @
    @nellyrhn43493 years ago 🙆🙆🙆🙆🙆mbona inaogopesha na mbona kama watu awo wako madirishani jamani sijuw ni uchawi ao mapema ao majini jamani 1
  • @
    @swahibal-karama1455 years ago 0774 490 500 Maalim Hamid nitafute tukawatie Adabu...kwa nguvu za Allah 21
  • @
    @sadaameenasadaameenna92745 years ago Laaahhh poleni sana mungu anamuona anaisumbuwa iyofamiliya kwamungu ataukumiwa
  • @
    @mwanahalimamwachili96795 years ago Mungu asaidie, Hawa ni Watu Wamekusudia Husda hizi,Wallah Binadamu Wabaya Ujenge Nyumba Yako Shida tele na raha Mwishowe Waja Fanyiwa hivi.ila Mungu Yupo,Poleni sana, We Mpangaji Toka Ukatafute nyumba Kwengine hutishiwi. 1
  • @
    @afnanidarous13165 years ago Subhanna Allah, hii stori km ya kwng na mm yalinifika hivyo tn nyumba yng mwenyw vituko vilizidi mpaka wanajitokeza watu live nawaona mchana kweupe ndipo nilipo hama na kupangisha wapangaji na mambo yalizidi sana ila namshukuru Allah alitokea MTU akaiweka sawa na ss wapangaji wanaendele kuishi,kwa hio jamani tusikatae haya mambo yapo na chote ni choyo na husda mm namshauri huyo jamaaa ahame humo ndani ... 2
  • @
    @fatmaaly96865 years ago Poleni sana turud kwa allah tupe subra na utuepushe na mitihani wachawi wapo ila tusiwaamini dua muhim
  • @
    @taharayassin65285 years ago Ni visomo muhimu sana pengine kuna dhulma katika viwanja sana sanyengine tunakodi nyumba hatujui mjengaji nihakiyake hiyo sehem au laa , hapo muhimu mwenye nyumba atatilie ni kwanini na huku visomo vifanyike na sisi binaadam hatuna mazoweya ya kusoma Qur'an katika majumba yetu ni taarabu kwenda mbele hatuna ukaribu na Qur'an ramadhani mpaka ramadhani kuskiliza Qur'an ... 3
  • @
    @salmaelhinai8335 years ago Hii hali ipo tena imezidi sana watu wengi wanalalamika Allah atufanyie wepesi yarabi
  • @
    @fatmamohamed10995 years ago polen sn Mung awafanyie wepec,jtahd Na Dua msichoke kumtanguliza Mung 3
  • @
    @nasragulu76005 years ago Asalam alekum poleni sana ndugu zangu ila ninge penda kuwambia musikose kusoma au kusikiliza siratul ra'ad na ruqya na amini hawata rudiya tena kwa uwezo wake Allah insha.
  • @
    @maryamoman59265 years ago Subhanallah yapo ayo atauku oman sana aallah atustir amen
  • @
    @mushtaqdada98045 years ago Poleni sana kwa mitihani mungu alete wepesi inshallah msichoke kusoma Quran kwa wingi
  • @
    @maryamoman59265 years ago Subhanallah mugopeni aaallah ushi rikina mbaya sana
  • @
    @fathimamct2322 years ago Huyo alieanza kukaa humo huwenda alikuwa na mambo yake misukule hiyo kama nyumba kurithi mzee alikuwa na mambo yake 1
  • @
    @sharifkombo25265 years ago Waondoke tu umo ndani wakichoka kula vyakula na kuchoma moto.wataanza kutafuna watu iyo nyumb haifai.yawezekana mwenye nyumb alijenga na majini bila kujijua 3
  • @
    @khamiskhamis53235 years ago Mhhh Subhannallah Allah awepe subra ayo mambo yapo na wanao fanya ni binaadam,,mana binaadam wanatisha mhhh Allah ataleta kher Inshaallah
  • @
    @vimkhamis27945 years ago INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN..... Allah awape wepesi majumba ya kupanga yana mashaka yake..
  • @
    @ukweliunauma45705 years ago Jamaa sio wanga hao ki mashetan mlijenga katika makaburi ya Watu au sehemu yao wanataka muhame eneo hilo sio Watu fanyeni kisomo toweni sadaka tafuteni Watu wa kisomo au kama wakiristo Lete pastor. Sio ushirikina Hii ni sehemu shafu Tu mmjenga. Fatileini sehemu kabla hujajenga mwengine mna makaburi ya Watu zamani mnawakera ...
  • @
    @fatmamohammedali43065 years ago Wafungue Radio SALAAM USIKU inasomwa suurat lbaqara na sura nyingine za kufukuza majini pia wachome harmali inauzwa duka la madawa na wao wawe waangalifu kwa kupiga majimbo ndani waache. 2
  • @
    @ruqiyaruq51425 years ago Muwe makini wenye nyumba wengine wanapenga kuweka kinga baadae zinageuka inakuwa majini yanasumbua yashamtokea mtu mambo hayo 1
  • @
    @mamawa3mamawa3215 years ago Poleni.Allah atawashinda wanaofanya hivo
  • @
    @amaninaupendo.35395 years ago Amen amen. Hayo madogo sana tena sana. Katika uduma yangu nilisha kutana na makubwa kuliko hayo . sanya juu moshi. Mbeya .mwenge njombe na sehemu zingine. Hayo yanandolewa . nyumba ya Mungu ,nduruma yote yalitokea lakini sasa yameisha. Mungu awapiganie. Amen. ... 1
  • @
    @samsungjsevenprime57175 years ago Isomwe Dua kubwa na Quruan kila siku masaa24 Iwe munasomwa Visomo Cidii za visomo zipo tele na wasomaji wa Duawapo waje waisomee nyumba Allah awajaalie usalama na Amani
  • @
    @emanuelmhoja24115 years ago Duh inasikitisha nimeishi hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita (njia ya kwenda Kizimbani) 2
  • @
    @fathimamct2322 years ago Nyumba za kununuwa tu ni mtihani Bora mtu ujenge yako na kama wamerithi basi misukule hiyo kama mwenye nyumba yupo mwambie I atoe hiyo misukure Yake mwiteni Rambaramba .
  • @
    @salmayussuf67115 years ago poleni sana na mitihani Allah atawafanyia wepesi lkn someni na dua
  • @
    @salimharrasy70475 years ago Dawa ni quraan kusomwa.
    Waitwe wajuzi wa kusoma quraan walojisalimisha Kwa Allah.
    Sio Washirikina.
    4
  • @
    @hamismohamed35415 years ago Hameni Wale matofali ya nyumba sasa hao mahasidi
  • @
    @nyamogafamily42625 years ago Wamkili YESU kristo atailinda nyumba yao CK zote,,Akihama na Jini nalo litamfuata. ....
  • @
    @zaytunhijja67715 years ago poleni sana😭😭😭allah atazishinda nguvu zao
  • @
    @abdullmalik78475 years ago Subhanallah lahaulah Walah kuwata billah
  • @
    @mohdissa89735 years ago Iyo nyumba IPO chini ya msikitii ajabu sanaa kwa kweli ilaa lilikuwa bomwaa zamani sanaaaaaa Qur'an ndio mkombozi wetu sote 2
  • @
    @mwainehaji57225 years ago yani binadamu tunajisahau kabisa km mungu yupo na anayaona tunayo yafany na tutalipw yarabbi khusni khatima
  • @
    @rahmakhassani41485 years ago Msome dua jamani humo ndani mumwage na kombe huenda ikasaidia subhanba llah
  • @
    @maryambarayan75995 years ago Kisa a Kama hicho kilimpata jamaa yangu yeye alichofanya aliongea kwa nyumbayake kwasauti akiwaambia kila mmoja aangalie Maisha yake kama siohivyo atachukua uamuzi mkali. Basi amini siamini hakuona wala kufanyiwa lolote na mpaka sasa aishi Kwahiyo nyumba bila wasiwasi ama aweke chakula lakini akitie simu wafie mbili ... 1
  • @
    @praisesteven77745 years ago Inawezekana hata sio uchawii n watu tuuu tena weny akili
  • @
    @abdulytibagitaming88555 years ago kauli ya Allah IPO baina ya Qaaf na nuun chukua mchanga somea surt yaasin kisha amwage kwenye pembe za nyumba kisha chukua maji somea tambati yadaa Mara 11 puliza Mara 7 kisha mwagia vyumba vyote Allah atafanya wepesi pia kuna mafuta yanaitwa fahashi ni mazuri napia hayapatani na hao majini ama wachawi kwa idhini ya Allah yanapatikana dar sehem kariakoo namba 0654977145 piga utawasiliana nae atakujuza inshaallah ... 1
  • @
    @mwanahamisahmada51515 years ago Wanga so watu wazuriii hawana kula ya kuwapa mizukule yao hama baba bora nusu shariiiii
  • @
    @spreadlove21195 years ago Mi naona bora muhame tu, kama nyumba siyo yako, mnatiwa umaskini.
  • @
    @yunusfaki99115 years ago Allah anasema musiafanye manyumba yenu makaburi anatutaka tusome suratul bakara,tuswali sana swala za kwa wingi mtume hakuswali swali za sunna msikitini isipokua kablia na baadia kwa hyo tujitahidi kufanya hayo katika manyumba yetu ila yatuepuko hayo yote yanayotokea. ...
  • @
    @batashqiraa99365 years ago Wafungue adhana usiku kucha ni kibiko kwa majini na wachawi 2
  • @
    @mumybhay65615 years ago Duh! kaka ang toli pole sana kumbe haya majanga yamekupata ww? nlikua nackia to ctori kumbe ww kaka!?😢😢 1
  • @
    @fathimamct2322 years ago Au anamashetwani ya kichwa kwa hiyo yanapopamda anafanya hivyo vitu akiwa hajitambui akipata fahamu yupo kitandani anakuwa hajui kitu wachunguzwe kwanza wenyewe hao mke na mume
  • @
    @greatiq82345 years ago Dada, samahani. Ni "haujawahi kuvisikia" au "hujawahi kuvisikia?"
  • @
    @abdullayahya87175 years ago Weka CCTV utamjua nani anakufanyia vituko..... 4
  • @
    @nattaliakhaleef16305 years ago Ktv mbn hamuandiki no zenu au kutaja apo 2
  • @
    @rahmahakim62855 years ago Innalillahi wainna ilaih rajun binaadam tupendane duu inaskitisha lakni
  • @
    @greatiq82345 years ago Mmekaa "ukumbini kwa wenyewe!" Nilisha ona ishu aina hiyo kule mji mkongwe huko Zanzibar. Kuna mama alikuwa hadi akisaidiwa kufunga ubuyu (kuweka kwenye vipaket)!
  • @
    @namirihamisi38995 years ago kama nyumba ni ya urithi huwenda huyo mzazi alokuwa anafuga vitu vyake sasa yanahangaika au nyinyi mlioingia mmeingia na vitu vyenu ambae huyo aliefugwa humo anaona hivyo vitu mmeleta si vizuri. 1
  • @
    @salehsuleiman12185 years ago Allah ndio mjuzi zaid mtemeen yeye ndio hakim Wa mahakim
  • @
    @sadiaabed66875 years ago Oooh kumbe ni yamwenye nyumba daah itabidi muondoke mutafute kwengine 1
  • @
    @leilabuisha19525 years ago Someni Rukya na wekeni cd ama cassette za Rukya
  • @
    @khamisame47325 years ago Ktv saut nindogo na sio km ile yamwazo