Duration 2:42

LISSU ALIVYOWATOA HOFU WANANCHI KAMPENI ZA CHADEMA DODOMA

52 248 watched
0
334
Published 4 Sep 2020

MKE WA LISSU ATOA KALI ALIVYOMDENGULIA NA LISSU CHUONI || MNYIKA ATEMA CHECHE DODOMA /watch/s91=t&EInZt_D1zOC1=

Category

Show more

Comments - 206
  • @
    @ruthmsumari52554 years ago Sema mkuu wetu tunakupenda kura yangu umeipata ww ni shujaa mungu anakupenda usimwache. 1
  • @
    @epaphrodittorwiza30094 years ago Kura yangu unayo nasubili jumatano 28. 10. 2020. 2
  • @
    @queenpiscator61174 years ago Hongera sera zako sio uchonganishi wewe ni mpuuzi. 1
  • @
    @peterezrom51944 years ago Umeongea vizuri sana. Huwa napenda sikiliza hotuba zako. Hakika mungu huwa anawapa watu vipawa. Mi nikuombee mungu akuepushe na maadui wowote.
  • @
    @tajjudinihaji27764 years ago Mashaa allah lissu nakupenda pia allah akujalie iyo kanzu iwe ni sababu ya wewe kuingia kwenye dini ya haki. 23
  • @
    @noelbabuya4 years ago Sawa rais
    umenigusa kwa kweli
    watu tunaogopa kitu ambacho lazima kiwe.
    4
  • @
    @tatuali13794 years ago Duh nipo omani kur yangu unaikosa baba. 1
  • @
    @issaallimohammed49754 years ago Kamanda siro waambie tume ya uchaguzi watende haki ikitendwa amani lazima itashamiri bila kuombwa. 5
  • @
    @luluamri3704 years ago Utamaliza mavazi, kijani iko vilevile, sera yako ni hiyonabii mussa alishapita hapo kashazoa kura zote kizota. We baki kuwa kinyon mara ombaomba mala keo mwanasheria, mara kesho mchimba mkwala, mara mfokeaji, mara unarudia line za magufuli adui mkubwa hofu, tarehe 29 utapanda lorry za usiku kwenda kenya kuianza safari yako ya kurudi belgium. ...Expand
  • @
    @rojaboka79104 years ago Ww ndio mwanasiasa wengine wachumia tumbo. 13
  • @
    @issaalfani10304 years ago Watanzania tunakwama wapi mtu anapo sema yanayo wakuta wengi kisha tukapuuza nikukosa mawazo yamaisha halisi. 7
  • @
    @sophialaurent28764 years ago Bwabwaja yoote lakin urais hupati hata utambikie. 1
  • @
    @johnbosco10584 years ago Kampeni jamani ni shidaa yaani kaamua kutafuta kura kishehe hhaha.
  • @
    @kassidpandu8664 years ago Risasi 19 masikioni mwetu tumechoka kuisikia. 1
  • @
    @georgenyalulu45504 years ago Mweshimiwa hofu gani umaongelea maana hofu ya coronambali na corona ilikimbia ila wenzako walisusia bunge sababu ya corona lkn kampeni zimeanza naona hakuna hata mmoja aliyevaa barakoa, au nao wameisjinda hofu! Brain storm. ...Expand 2
  • @
    @adammjomba71124 years ago Mimi kura yangu lazima nimpe kamanda mh tundulisu yeye ni mwenye wekedi na subria na pia anamaono mzuri huyu mtu atatuvusha sioni vile mh makufuli anaweza . ...Expand 10
  • @
    @aminaabdallah77024 years ago Una vaa kanzu ili yufiche kuwa yuko na maframason wanao abudu shetwani? Onesha vidole tena kama yulio vionyesha shinyanga mungu hapendi uongo wala kumdanganya . ...Expand 1
  • @
    @jamesbantom70524 years ago Tatozo chama chako kinaendeshwa kitapeli.
  • @
    @jamhurramadhan37074 years ago Ww hata ukivaa joho urais utausikia tu ss tunakujua km mnafiki mkubwa ww.
  • @
    @jazeelaabdi3964 years ago Mm najitambua vizuri nyinyi mnaoshabikia matatizo sera zenyewe ananadi risasi na matusi halafu unategemea aje akujue shabikieni hashindi hata mfanye nn. 2
  • @
    @jarsaduba26264 years ago Acha kutumia jia ya mkato kutafuta kiti cha raisi ukweli dio itakuweka huru. 6
  • @
    @saidabdala49804 years ago Malim seif mpe huyu kamanda agombee urais zanzibar. Kidume huyu ukimleta zanzibar. Baai itagonboka tu.
  • @
    @issaadinaniissa64874 years ago Kwqni lisu na ray kuna udugu maan duuh, kama ma apple vilee. 1
  • @
    @davejoe59494 years ago We semaa uzandiki usichenji maneno sema akule mwenyewe, adui yako nina? 4
  • @
    @reubenbegashe23724 years ago Sasa mbona wenzako walikuwa na hofu ya corona, lakini mimi na wao tuna hofu na wewe ya kwamba unatumika na mabeberu kuvuruga aman yetu wa tz. 10
  • @
    @wilfredmlaki8224 years ago Chizi tu wewe! Kibara na msaliti tu wewe! Eleza una sera zipi! Mbona hueleweki yaani unatuchanganya tu, eleza utalifanyia nini taifa!
  • @
    @Mamatonny20654 years ago Huna nia nzuri na tanzania.
    hofu uliyonayo umeileta wewekuwa na busara unapofanya kampeni zako.
    acha kelele.
    acha kumtukana magufuli.
    acha kuhamasisha fujo.
    acha wivu na magufuli.
    eleza sera zako kwa watanzania!
    .
    ...Expand 9
  • @
    @ziadasadiki81964 years ago Jamani kuraa hatariii leo kavaa kanzu. 3
  • @
    @Mwarobaini4 years ago Kuna tukio limetokea muda huu huku bofya link hapa chini kuona tukio lote. 1
  • @
    @amanchatila20834 years ago Kisa kavaa kanzu jamaa zetu comment zao zinamtia moyo. 1
  • @
    @somiyosam434 years ago Lisu mm mwenyewe mkristo lakn cjapenda waslam wanayo fanyiwa namagofuli mashee wafunguliwe niyeye mwakauu. 8
  • @
    @jonathanfrancis23854 years ago Haustahili kuvaa nguo hizo
    huku unashabikia ushoga moyoni mwako.
    2
  • @
    @bartonfredrick50474 years ago We ndo mwenye hofu unataka madaraka kwa kufosi. 6
  • @
    @iyapothemarker16374 years ago Duhh,, huyu jamaa kumbe Tundulisu ndo alivyo
  • @
    @jumakibanga21404 years ago Lissu piga kazi achana na hao wanaoasema umetumwa. 11
  • @
    @thieryniyonkuru50234 years ago Umerudi na asylum seeker ya belgium, wadanganye mazwazwa wenzako. 4
  • @
    @aboubackhrkassangullah33774 years ago Mie kilicjonivutia ni hiyo kanzu na kofia tu basi. 1
  • @
    @jazeelaabdi3964 years ago Hashindi na hatoshinda jipeni moyo tuui. 1
  • @
    @sasha-ri7tf4 years ago Baadhi yetu tupo majasiri kukukaribia wewe mhe tundu lisu, na tunazidi kumuondosha mdudu hofu katika kiwiliwili chetu sababu tukiendelea kuogopa hatutoyafikia . ...Expand
  • @
    @elminakalunga40304 years ago Ungetuona tunavyokucheka hukuuu! Wachekesha ujue! Shoga na kanzu wapi na wapi jamani? 2
  • @
    @athumankigomba4274 years ago Mpeniuraisi mtiweuchoko waulizeni afrika ya kusini wote wamealibikawanavyotaka.
  • @
    @jameskatoto52794 years ago Karibia utavaa chupi wewe hupatikn
    ng' o.
    1
  • @
    @meddymushimaz49984 years ago Wewe unavaa nguo nzuri za heshima wakati unataka kutufanya mashoga. 1
  • @
    @samwelsimon92784 years ago Hakuna maendeleo bila ccm kuwa mpizani niuwongo mtupu. 2
  • @
    @sifamushi17474 years ago Mzee lissu kwa kweli leo umenifurahisha vazi la heshma!
    kanzu na barka shea. Safi sana mkuu. Uwe unapiga ayo mapigo mara kwa mara.
    please . ...Expand
  • @
    @uledimtumwa24064 years ago Hawa jamaa wa aina hii ni haram kuwapauchaguzi ndio katia timu. Ngoja uchaguzi uishe kama hajakimbia mzushi huyu.
  • @
    @jazeelaabdi3964 years ago Hushindi na hatukupendi unadhalilisha vazi la waislamu unajifanya swala wakati ndani mbwa mwitu. 1
  • @
    @fatumamilimo73364 years ago Yaani dodoma tunavyompenda magufuli acha tu yaani huna chahoja nzuri ahsante kwa kushiriki. 1
  • @
    @husinayahaya24454 years ago Wewe hata ukijipendekeza na uisilam huwezi kupata uraisi bwege wewe. 4
  • @
    @athumankigomba4274 years ago Wewe kibaraka msimsikilize shertani firimaso mchagueni shoga huyo.
  • @
    @musamkare89904 years ago Utabadili sana mavaz ila ikulu forget kuingia.
  • @
    @stephenmseti55394 years ago Tuna hofu na wewe maana ulienda kutibiwa ulaya lkn cha ajabu kwa kushirikiana na msaliti mwenzako mkawa mnaisema nchi ughaibuni kwa mabaya tu, pia ulikuwa . ...Expand
  • @
    @kasimugullum58624 years ago Maneno yenye yaqiin, kama ya aboud rogoaleyhi) 1
  • @
    @philemonkwembe4824 years ago Ana lolote uongo tu atuonyeshe nn alicho fanya katika tanzania au uko kwao. 3
  • @
    @amosmoses78004 years ago Kila mmoja atakufa isipojuwa john pombe. Uyu hatokufa. Ataishi milele. Na ndio mana anabadilisha katiba aongezewe muhula wa kutawala milele.
  • @
    @hktztv65194 years ago Sikiliza cheche za TUNDULISU Dodoma kuhusu MAGUFULI
  • @
    @majaliwacosmas33224 years ago Hakuna kitu wewe mjinga, bora mtu are kwa ugonjwa kuliko kutuletea vita. 4
  • @
    @nickkakumbi95674 years ago Kichaa ni wewe. Marisasi yanasumbua akili yako. Mwehu wewe. 3
  • @
    @maspro62944 years ago Wewe kibaraka wa mabeberu hakuna wa kuwapa inchi nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko wewe labda uwe rais mashoga na kuzibua vyoo na october mkileta fujo . ...Expand 1