Diamond platnumz na mwanae Nillan wameshinda tuzo za Fashion za East Africa Fashion Awards mwaka 2020,
diamond ameibuka msanii wa kiume anayejua kuvaa zaidi Africa Mashariki
The most stylish male artist in East Africa
na mwanaye nillan ameibuka mshindi wa tuzo ya mtoto staaa anayejua kuvaa zaidi
The most stylish kid celebrity in East Africa
Tazama hapa washindi wote #diamondplatnumz #EAFA
#Grammediatz
_______________________________________