Duration 8:44

Kwa Nini Diamond Platnumz Anaipromoti Afrika Kusini Kuliko Tanzania Msikilize

40 085 watched
0
437
Published 15 Mar 2017

Diamond Platnumz, msanii wa kizazi kipya Bongo, amekuwa na kawaida ya kuipromoti Afrika Kusini kuliko Tanzania. Kwa kupitia mitandao yake ya kijamii, Diamond amekuwa akiandika maneno kama Welcome SA akimaanisha Karibu Afrika Kusini na kuposti vivutio kadhaa vya nchi hiyo lakini hajawahi kuandika chochote kuhusu nchi yake, Tanzania. Global TV Online ilimsakanya kila kona kwa lengo la kutaka kumsikia, kwa nini anaipromoti Afrika Kusini kuliko Tanzania wakati tuna vivutio kibao? Msikilie alichokisema... Kupata video kibao kama hizi, usisahau kusubscribe kwenye youtube chaneli ya Global TV Online DIAMOND| TANZANIA| SOUTH AFRICA| DIAMOND PLATNUMZ|

Category

Show more

Comments - 60