Duration 19:16

LIVE: GLOBAL HABARI NOV 21 - RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA

4 025 watched
0
14
Published 21 Nov 2020

🔴#LIVE: GLOBAL HABARI NOV 21 - RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA... Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi amewaagiza mawaziri aliowaapisha leo kuhakikisha wanazijua wizara walizoteuliwa na taasisi zake, pamoja na kutengeneza mpango kazi wenye bajeti kwa kila wizara. Rais Dkt. ameyasema hayo katika Hafla ya kuwaapisha mawaziri wa serikali ya awamu ya nane wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, iliyofanyika ikulu ya Zanzibar. Aidha Rais mwinyi amewataka mawaziri kuhakikisha wanatembelea maeneo ya miradi inayowahusu kila wizara ili kujithibitishia ubora na viwango vya maendeleo ya miradi hiyo. Rais mwinyi ametaka maelezo ya kina juu ya mradi wa kutotolesha vifaranga vya samaki, mradi ambao jana aliutembelea Makamu wa pili wa Zanzibar na kubaini ubadhirifu mkubwa kwenye mradi huo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 0