Usiku wa jana ilifanyia Birthday Party ya msanii Gigy Money ambapo mastaa mbalimbali walifika kwenye party hiyo iliyofanyika maeneo ya Mbezi Beach. Wema Sepetu ni miongoni mwa mastaa waliofika kwenye party hiyo, Tumekuweka video hii inayokuonesha wema akiwasili itazame kisha weka maoni yako hapo chini.