Duration 5700

KIPAJI CHANGU MAISHA YANGU - KITABU KIPYA

1 121 watched
0
37
Published 16 Jun 2021

Kitabu kinachoelezea dhana ya kipaji katika utambuzi, Ukuzaji na athari zitokanazo na kipaji. . Vipawa tulivyopewa ni nyenzo kubwa maishani. . Mtu mwenye kuitikia mwito wa kipaji chake huishi katika misingi halisi ya kuumbwa kwake. . Na kipaji kikigunduliwa na kuendelezwa mapema basi huwa ni njia mojawapo ya kurahisisha sana Maisha ya huyo mwenye kipaji. . Lakini yote tisa, 10 kipaji kinatakiwa kiwe msaada kwa wale wanaokuzunguka, au jamii husika kwani kwa hakika KIPAJI NI AJIRA . JIPATIE NAKALA YAKO KWA (15,000/=). KATIKA MADUKA YA VITABU KWA DAR ES SALAAM, DODOMA, ARUSHA NA MTWARA. WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI. 0652218165 & 0776757744 INSTAGRAM: @Omarimadiva YOUTUBE: Madiva TV . GROUP LANGU LA VITABU (WHATSAPP): (SPN BOOK CLUB): Karibu ujiunge ikiwa wewe: - Unapenda kupata faida toka kwenye vitabu - Ni mvivu kusoma na ungependelea kusikiliza (Audio) zaidi. - Unataka kufahamu/ kupata vitabu vizuri vya mafanikio. Utapata AUDIO CLIPS kwenye simu yako zilizosomwa kwa ufasaha na hazichoshi kusikiliza. Ili kujiunga tuma ujumbe "whatsapp" andika: SPN BOOK CLUB kwenda namba 0759191076 . ADA NI SHILINGI 2,000/= TU KWA WIKI . SUBSCRIBE - COMMENTS - LIKE - SHARE . UNGANA NAMI MITANDAONI: INSTAGRAM (SPN): https://www.instagram.com/successpath ... INSTAGRAM : https://www.instagram.com/ezdenjumanne FACEBOOK : https://www.facebook.com/ezdenjumanne TWITTER : https://www.twitter.com/ezdenjumanne LINKEDIN : https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne YOUTUBE : /ezdenjumanne . BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU: EMAIL: successpathnetwork@gmail.com WHATSAPP : (+255)759191076 . SUBSCRIBE CHANNEL YA HAMASA YA LEO HAPA: /hamasayaleo . . #Success #Path #Network

Category

Show more

Comments - 0