Duration 2:11

DUA YA KUMUOMBEA BI AWENA SINANI MASOUD

690 watched
0
3
Published 28 Jun 2021

Mke wa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Bi Zuhra Othman Masoud amejumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na wananchi mbali mbali katika dua ya kumuombea Bi Awena Sinani Masoud Mke wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Marehemu Maallim Seif Sharif Hamad. #zbctvonline#zbczanzibar.

Category

Show more

Comments - 0