Kwaya ya Mtakatifu Maria wa Fatima kutoka Kigango cha Nyamboge - Parokia ya Nzera jimbo katoliki la Geita wanapenda kukukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaoitwa "Upendo wa Mungu" utunzi wake Baraka Thomas Mashibe, ukiwa ni miongoni wa nyimbo zilizomo katika album yao mpya inayoitwa "Mtumaini Mungu" itakayozinduliwa hivi karibuni.
Karibuni nyote tusikilize na kutazama
Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS
_Sound Engineer: Dady Rutta
_Video Shot & Directed By Dady Rutta
Contact DADY Productions for booking
dadyrutta88@gmail.com
+255 745 260 131/+255 715 068 534
Get more videos from DADY Productions
TWAJA KUKUSHUKURU
/watch/cilCLby_89R_C
MBEBA MIUJIZA
/watch/oFWjh5jSlgySj
WEMA WA MUNGU
/watch/ocbqtilcDUScq
#dadyproductions #kwayakatoliki #kwayampya2022