Jinsi ya Kutengeneza Maandazi/ Mahamri Laini ya iliki | How to Make soft Maandazi
Bofa hapa kutazama mapishi ya chapati laini: /watch/cW2lQ20BkA7Bl
MAHITAJI:
Vikombe vinne vya unga
kijiko kimoja cha chai iliki
kikombe robo tatu ya sukari
kijiko moja kubwa ya blueband
kijiko kimoja kubwa ya hamira
kikombe moja na robo tatu ya maziwa