Ushawahi Kuambiwa maji baridi yanagandisha mafuta mwilini? Ushawahi kuambiwa unatakiwa unywe maji lita nne na zaidi eti kwa sababu una uzito wa kilo zaidi ya 100? Je hili ni sahihi kwa wote? Tizama somo hili
@salomeconstantine47024 years agoDr, mi nasumbululiwa na presha ya kupanda miaka mitano sasa na ilitokana na uzazi na huwa inanisumbua sana japo natumia dawa, likaja kujitokeza tatizo. ...Expand3
@
@erastobefoodproducts4 years agoSafi sana dr nimejifunza ubarikiwe sana. 2
@
@saudmohammed33904 years agoKazi nzuri mkumbo mungu akubariki sana nimekufahamu vizuri. 1
@
@MaryNjoroge-bh7cc10 months agoShukrani sana daktari kwa ushauri wako. 1
@
@asyaasya37663 years agoShukran doctor kwa kutuelimisha hatukua tunajua hilo. 1
@
@fatmakombo75844 years agoShukran docktar elimu uliotupa ni nzur sana. 1
@
@maureenjovial60834 years agoShukran sana daktari nimepata kuchua sasa.
@
@franciscowilliam25754 years agoShukrani sana nilikua nayahisi maji kua ni suspect muda mrefu sana ila nilikua sijui kwasababu zipi. Umefafanua vizuri sana imeeleweka. Mimi na familia yangu tutaanza kufuatilia rasmi mafunzo uliyotoa, barikiwa sana. 2
@
@noelmarapachi18084 years agoMungu akubariki dr. Mkumbo kwa kufungua channel hii. 1
@
@fundieddy91644 years agoDuh! tunywe maji kwa kufuata kiu na hali ya afya tuliyonayo, siyo kufuataza kwenye makopo ya maji ya ni ya kitaalam, yaliyoelezwa kwa njia inayoeleweka mno. asante sana dr. Boaz. mungu akubariki sana. ...Expand8
@
@salmaamiry76742 years agoNakubali sanaa dokta mie nilifanya hilo jaribio na mda nijilazimisha kunywa maji ningali sina kiu na bado nanenepa ila baada yakufanya mwili unavyotaka basi napata matokeo mazuri tu.
@
@ashashabani44024 years agoMara tunywe maji mengi! Mara ni hatar eh? Jamani. 3
@
@mary.matullu82794 years agoNakubaliana na wewe. big up. Kunywa maji ukiwa na kiu.
@
@rosejohnsadock15593 years agoKazi nzuri dokta ila mom nina tatizo la chunusi mwilini nisaidia jinsi ya kuondoa au nitatizo gain hili.
@
@kijajoseph85924 years agoYes, kunywa maji mengi ni madhara tena da. 1
@
@OmanOman-zc5dt4 years agoDoktar nipenambar yako ili nipate ushauli zaidi. 3
@
@rehemashebanikasenge51384 years agoJee mm nakunwa maji yakiwa moto kiasi hivi nisawa coz mm ni mgonjwa wa thyroids nimeacha kula dawa za thyroids for 3mths now but nime kuwa na weight kubwa 80 nisaidie advise.
@
@mamakonkimamakonki49014 years agoDocta mimi nina presha ya kupanda naweza kunywa maji kiasi gani kwa siku, na nifanye nini ili nipunguke. 2
@
@aishamawalla7334 years agoDoctor jibu comment jamani site tupate faida. 2
@
@hassankipalalah5422last yearDr unanishauri nini kuhusu biashara ya juisi ya matunda na juisi ya miwa niifanyeje ili iwe bora?
@
@macscotty34093 years agoDoctor nashida na no. Zako asee unisaidie.
@
@alidaniel45314 years agoDk mie figo yangu inavijiwe vidovido je nini chanzo na nini solushani yake? 1
@
@ashajuma64324 years agoDr b. Nina uzito wa 105 nifanyeje ili nipungue. 2
@
@yengeselemanikiza14844 years agoNi kiasi gani cha maji ambacho ni kizuri kwa siku kwa mgonjwa wa type 2 ya kisukari. 1
@
@westonmbuba64214 years agoMimi najua ukiona mkojo umekuwa wa njano sana ndo unywe maji. 1
@tunsumemwajumba71492 years agoNikipata kiu ya maji usiku naweza kunywa? 1
@
@alicbenezeth1944 years agoMm niko na kg45 je nashauliwa nitumie maji kias gan.
@
@richardjonasi6698last yearMm namaliza siku 5 tu maana sierewi kabisa.
@
@phebibedon76344 years agoJamani ma dr. Kibaoo wanatushauri tunywe maji tena tusisubilii kiuu! Huyu pia anasema tusinywee mpaka kiu! Mhuuna vpi mikoa yenye mtu huwa hasiki kiu sasa si ataka mwez bilaa kunywa maji? Je itakuwa sawa kweli kiafya? Daaa metu hapaa. ...Expand2
@
@babyhamisi53314 years agoWengine wanasema tunywe maji bila kipimo maji hayana madhara, wengine wasema maji kwa kiwango, mungu tusaidie. 19
@
@user-jp5yy6kb9h10 months agoMm nina kilo 95 nakunywa maji lita 4 je inafaa. 1
@
@mariaemmanuel94944 years agoDr. Nifanyeje nipungue maana nina uzito mkubwa na tumbo kubwa. 1
@
@EliechiKimario-bv1gz4 months agoKi ufupi madaktri wa mtandaoni mnatuchanganya bhanaa we unasema hayafai wengine wanaelezea yanafaa tufwate lipi watu ni asantee docta tu.
@
@neemagoodluck62744 years agoDr nina hiyo shida ya kujaa miguu na kupumua kama nataka kufa, nifanyeje. 1
@
@rachealkitawa21534 years agoNdio asante kwa mafunzo ila tusipo kula ivyo vyakula tule nini wakati vyakula ivyo ndivyo viko katika jamamii inayo tuzunguka.
@
@lucydavid35824 years agoDr mim moyo unanishutuk xn na ninauzito wa 80 naomb ushauri wako maji ninjwe lita ngapi kwa siku naomb unisaidie plz. 3
@
@kavishevicky18164 years agoMungu tu atusaidie kila mtu anasema lakwake. 5
@
@hadija8462 years agoAsante sana dokta mimi ninaupungufu wa homon kwa sasa nakunywa dawa ya homon na nilikuwa nakunywa maji mengi miguu imevimba tumbo ni kubwa na unene sipunguwi. ...Expand
@
@faridhassan23084 years agoSasa nimekuelewa dokta nina uzito wa 120kg na kila nikijitahidi kupungua sipungui hata nifanye nini, ila leo nimejuwa kuwa sababu ni unywaji maji kwa kufuata asante naanza leo kufanyia kazi hiyo hali. ...Expand1
@
@bernadethaprosper4 years agoNahitaji kuongea na ww hata kwa simu kuhusu topic ya maji.
@
@saumuseif91894 years agoShukran ila wengine wanasema tunywe majimengi. 2
@
@annamlaponi94544 years agoHongera kwa kazi njema dr. Ila swali langu mtu mwenye shida ya mawe kwenye figo au shida ya figo, na ini kuzungukwa na mafuta, je anaruhusiwa kula hizo nyama ambazo ndo unatusisitiza tule? 2
@
@annajustine51044 years agoAhsante sana doctor, je na mtu anayesumbuliwa na presha anatakiwa anywe maji kiasi gani kwa siku?
@
@zainabmmapala80734 years agoMm ni mwembamba na hata sifiki uzito wa kilo 50 na tatzo la ganzi ndy langu. Kla sehem ya mwili an, na hua linatokae mara kwa mara, nisaidie ufumbuz hapo. 1
@
@officialtunumziwanda32812 years agoAkili zakuambiwa ongeza na zako usinywe maji mengi utakapo tundukiwa drp la maji hospital utajua hujui mbuzi nyie.
@
@henriettenkuba70784 years agoNtakufwata sana lakini point sipate. Yani sipate jibu sahihi la swali.
@
@khneesajumaa20524 years agoTwambie ni vyakula gani vya kuepuka kula mala kwa mala. 3
@
@janetisamson37354 years agoNa kama unatatizo la kisuka unatakiwa kunywa maji kiss gan.
@
@bensonlucas76074 years agoSomo zuri sana ila punguza kiswa_english kingi.
@
@ms.independent89344 years agoKwaiyo tunywe maji kidogo? Maana mtu akienda hospital tuna ambiwa tunywe maji mengi na ww unasema tusinywe maji mengi. Sasa hatu waelewi. 1
@
@ms.independent89344 years agoDr. Unapatikana wapi kio offc? Maana mm nina matatizo ya haja kubwa mm sio mnene ila nina presha pia na nimeambiea nile mboga za majani na matunda na maji mengi ila ningependa nijuie zaidi kitaalam kuhusu maradhi yangu hao. 1
@
@neemamwaijegha21093 years agoMimi kuna nes aliniambia ninywe maji lita tano kwa siku nilikua mja mzito kwahiyo uzito uliongezeka sana. Nilimwambia nakunywa lita mbili na nusu alinigombeza nikaanza kunywa kwa kujilazimisha mpaka nimalize lita tano. Nilipo jifungua nikaanza kupumua kwa shida sana. Nimeenda hospital nikaambiwa moyo umetanuka. Nimeumia sana. Hata sijui kama nitamona. ...Expand1
@
@sele25074 years agoMtu anywe lita ngapispeech yako doctor, yan mi sijapata suluhisho kaba. 2
@
@irenemmasy792 years agoMimi nakaaga wiki nzima siskii kiuninywe maji mengi asante dokta umenisaidia leo nimejua. 2
@
@rosekisanga80893 years agoNapenda kutumia maji mengi kila siku sasa nimepata tatizo la kuhisi kushindwa kupumua nitumie dawa gani.
Related videos for Kunywa maji Lita hizi. Maji mengi husababisha ganzi,Moyo kupanuka na Kupungukiwa madini ya Chumvi:
mungu akubariki sana
nimekufahamu vizuri. 1
tunywe maji kwa kufuata kiu na hali ya afya tuliyonayo, siyo kufuataza kwenye makopo ya maji ya
ni ya kitaalam, yaliyoelezwa kwa njia inayoeleweka mno.
asante sana dr. Boaz.
mungu akubariki sana. ...Expand 8
big up. Kunywa maji ukiwa na kiu.