Duration 12:47

PRINCESS DIANA alikufa kwa AJALI au NJAMA IMESIMULIWA, maneno yake ya MWISHO kabla ya KUKATA ROHO

81 165 watched
0
1.1 K
Published 16 Mar 2021

Princess Diana au Princess of Wales alizaliwa kwa jina la Diana Frances Spencer, July 1 1961. Alikuwa mmoja wa wanafamilia ya kifalme nchini Uingereza. Alikuwa mke wa kwanza wa Prince Charles na ndiye mama yao Prince William na Prince Harry. Endelea

Category

Show more

Comments - 140