Duration 1:24:15

Maombi ya kuomba MUNGU akuinulie watu sahihi wakukusaidia by Innocent Morris

73 258 watched
0
776
Published 1 Feb 2021

Maombi ya kuomba MUNGU akuinulie watu sahihi wakukusaidia by Innocent Morris Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: https://www.instagram.com/holyspiritconnect Facebook Link: https://www.facebook.com/holyspiritconnect YouTube Link: /holyspiritconnect

Category

Show more

Comments - 298
  • @
    @flavianamayutta46192 years ago Amen. Asante bwana yesu kuni-connect na watu walio sahihi na asante bwana yesu kwana watu wasio sahihi, watakaonifanya nijute kuwa nao katika maisha yangu
    barikiwa sana mtumishi kwa naombi haya mazuri, i really needed this kind of prayers. It is god timing. Amen
    .
    ...Expand 4
  • @
    @judithvusha1555last year Man of god i' m blessed because of you. 1
  • @
    @revocatuschailla10272 years ago Ninaamini mungu ametenda jambo kubwa ktk maisha yangu na familia yangu. Haleluya! 4
  • @
    @jamesmulilisowonderfulpeop44552 years ago Hi mr morris a man of god your prayers touched my heart. 2
  • @
    @queenmwanzia3283last year Amen mtumishi mungu niletee msaidizi, mtu wa kuniinua nimekua nikipata watu wa kunirudusha nyumba ki maisha. 3
  • @
    @kapiriisavictoria41752 years ago Amen, more grace, more anointing and more blessings in jesus mighty name. 3
  • @
    @julietkimigho850011 months ago Amen thanks my heavenly father be blessed poster.
  • @
    @AkwilaWilla7 months ago Mungu nakuomba uniamushie watu walio sahihi katika maisha yangu nikainuke kiuchumi kwajina la yesu kristo amina. 2
  • @
    @felistapius22222 years ago Amen. God is faithful our blessings lies on other people.
  • @
    @kevinatungilayo45607 months ago Mungu nakushukuru sana kwa miujiza yako katika familia yangu. Mungu wewe unatisha sana. Asante kwa kunipa watu sahihi wa kunivusha katika kila hatua ngumu ya maisha yangu. 2
  • @
    @ValeriaChapanga-ro5cw7 months ago Naomba mungu uniinulie watu sahihi wa kunisaidia katika maisha yangu na katika kipindi hiki kigumu. 2
  • @
    @lucyjeremia1381last year Amen mungu wangu naomba niinulie watu sahihi wa kunisaidia napokea watu sahihi. 2
  • @
    @tumwesigyefrancis75202 years ago May god bless you, man of god, in jesus christ name.
  • @
    @preciousgeorge42123 years ago Mwenyez mungu naomba niinulie watu wa kuniinua katika biashara zana na anisaidie watoto wangu wazidi kumtumikia mungu kila siku. 3
  • @
    @victoriapaulriwa82543 years ago Amen namshukuru mungu ameniinulia mtu ambae amenisaidia kufanikisha bihasharamungu kwa ukuu wake amen. 10
  • @
    @gladysnaserian26502 years ago Asante yesu nimeamini umetenda jambo jipya kwenye maisha yangu nakupenda yesu kwa moyo wangu wote. 2
  • @
    @jepsharon90082 years ago Mungu naomba unininulie watu sahii kwa maisha yangu. 2
  • @
    @suzanthobiaslast year Bwana yesu wewe ni mungu mwaminifu katika jina la yesu kristo. 1
  • @
    @suzanthobiaslast year Bwana yesu niconnect na watu sahihi ambaokatika maisha yangu. 1
  • @
    @mariaarsen14703 years ago Mungu anatenda sana na anazidi niinua nampenda mungu mwema sana kwa kila mtu. 4
  • @
    @gracenjelekela673 years ago Amein mungu nakuomba unipe watu wa kuniinua. 2
  • @
    @rehemasumuley-yv3wh3 months ago Nilithanu nimepata mtu sahihi kumbe ni mtu mnbaya sana naomba mungu aniinulie watu sahihi. 1
  • @
    @bestpraisesbyenockhambyeup35812 years ago Amen kuhusu io story of joseph. Naipenda. The story ya joseph ni the same na ya baba yangu. Amina. 1
  • @
    @bestpraisesbyenockhambyeup35812 years ago Naomba mungu aniinuliee watu sahihi kunisaidia katika maisha yangu. 1
  • @
    @kennyjuslain56722 years ago Amen ninaimani ombi yili inakweda kubadiri maitaji yangu. Mungu akubariki. 1
  • @
    @dainessdaudi86402 years ago Asante mungu kwa kuniinulia rafiki yangu gisela aendelee kunisaidia na anifanyie mambo makubwa zaid. 1
  • @
    @marcellyimo2833 years ago Amen naomba mungu aniinulie mtu atakae niinua ktk kipindi hiki kiimani na kwa matatizo yangu ya kuumwa. 2
  • @
    @FistonWilly5 months ago Bwana yesu christo wa nazareth uliye hai unifunguliye milango unisaidiye. 1
  • @
    @elizabethjeremiah31042 years ago Asante mtumishi wa mungu kwa maombi ya asubuhi. Mungu azid kutumia. 1
  • @
    @user-ru6gs3ms9c5 months ago Asante yesu umeniinulia watu sahihi wakuweza kunisaidia nakupenda mungu wangu wewe ni muweza wa kila kitu.
  • @
    @mathasauli50892 years ago Amen mungu naomba uniinulie watu sahihi katika maisha yangu yote. 1
  • @
    @JacklinaJeremaya-jb3zw10 months ago Mungu naomba unipe watu sahihi au mtu sahihi atayenisaidia ela ya mtaji nifanye biashala nisaidie wazazi wangu na familia yangu amen.
  • @
    @marygracefidelis13203 years ago Mungu naomba uninulie na watusahihi wakunisaidia pamoja na mmewangu. 1
  • @
    @judithmakuba69175 months ago Amen! Bwana yesu uniinulie watu sahihi, ambao watanisaidia asante yesu.
  • @
    @aminarajab10455 months ago Naamini mungu ametendajambo kubwakwenye family yangu katika jinalayesu kristo kwangu nimepokea mtaji wabiashara.
  • @
    @theonestinakaizilege9974last year Mungu ninakuom ba nipe watu sahihi wakunisaidi. Ktk biasharayangu kazi zangu zote. Amen. 2
  • @
    @user-nj3bt6xq3u4 months ago Nashukur mungu umeniinua kiuchumi na watoto wangu wainiriwe ee mungu nizidishie zaidi.
  • @
    @brighterandrew428810 months ago Mungu naomba uniinulie watu sahihi kwenye maisha yangu, naomba nipone maradhi niliyonayo, fungua biashara zangu niwe salama mm nafamilia yangu.
  • @
    @agnesmbone2316 months ago Mtumishi umekuwa wa baraka sana kwenye maisha yangu mungu akuhifadhi na azidi kupa ufunuo usaidie wengi.
  • @
    @FistonWilly5 months ago Eeh yehova mungu uninuliye mutu sahihi wakunisaidiya. 1
  • @
    @getrude-ud9lt11 months ago Ubarikiwe mtumishi wa mungu n tena akulindie kwa huduma hii much love from. 1
  • @
    @elizabethjeremiah31042 years ago Mungu aniinulie watu sahihi katika maisha yangu na familia yangu. 1
  • @
    @veronicajonas89172 years ago Amenmungu anaenda kunifungua na kunipa mtu sahihi ambae ni kassim mohamedy mgoro. 2
  • @
    @catherinendwiga6207last year Asante bwana kuniinulia watu sahii ktk maisha yangu na familia yangu na. Kupitia magonjwa. Tupate uponyaji. Ulinzi kw watoto wetu waweze kukutumikia siku zote za maisha yao.
  • @
    @user-ft3fg6qy6klast year Mungu wangu naomba usikie maombi yangu ameen.
  • @
    @anethkamuli8508last year Mungu naomba uniinulie mtu sahihi mwaka 2023 nikafanikiwe.
  • @
    @safinanyiwala386last year Asante yesu naamini na ninakwenda kupokea watu sahihi na kupoteza watu wasio sahihi. 1
  • @
    @lubimbijunior7721last year Nashukuru mungu nimepata amani moyoni mwangu bahada ya maombi aya na amini kupokea kulipa madeni yote yanayo msumbua mume wangu. 2
  • @
    @brighterandrew428810 months ago Mungu wangu nitoe ktk uvuli wa mauti, nipe kibali cha kulea watoto wangu, nimewavusha watu kwenye biashara zao, lkn leo nimeyumba wameniacha naja kwako baba niinulie watu wanaoweza kuniinua kwenye kila eneo la maisha yangu.
  • @
    @ishishashop48092 years ago Naomba mungu niinulie watu wa kunisaidia naomba utukufu wako usiniache baba wajua itaji langu amina.
  • @
    @lizzybahati98333 years ago Naomba mungu anikutanishe na mume aliye sahihi. 2
  • @
    @kalonjilukanjaluka27188 months ago Mungu wa mbinguni aniconnecter n' a watu watakao kuwa baraka kwangu n' a kwa watoto wangu.
  • @
    @lindamaende92523 years ago Nakupenda eeh mungu ninulie watu wakunisadia katika maisha yngu na family yngu. 1
  • @
    @user-ft3fg6qy6klast year Niinulie watu sahihi bwana yesu niweze kulipwa madai yangu ya muda mrefu mungu naomba unisaidie. 1
  • @
    @stellaketemamhando78143 years ago Blessed hallelujah, milango ya baraka ipo wazi kwenye kila eneo la maisha yangu, mungu ukaniinulie watu sahihi wa kunisemea kwenye promotion yangu, kwenye . ...Expand 2
  • @
    @wemafatuma27683 years ago Bwana yesu nitumie watu sahihi wakuni saidia. Kwa kila jambo. Amen. 1
  • @
    @victoriapaulriwa82543 years ago Ninakupenda bwana yesu, bwana yesu naomba niinulie watu sahihi wakunisaidia katika kila eneo la maisha yangu. 2
  • @
    @eligadmlay58452 years ago Ww yesu ni mungu mwanifu katika jina la yesu kristo.
  • @
    @dainessdaudi86402 years ago Naomba niinulie rafiki mwingine sahii katika maisha yangu wa kunisaidia me na wanangu.
  • @
    @jesicandunguru23283 years ago Ehee mwenyezi mungu naomba nisaidie nipate mtu wa kunitoa apa nilipo niweze kuisadia familia yangu. 3
  • @
    @mamamikuwa49913 years ago Mungu uwainulie binti zangu watu sahihi wakufunga nao ndoa amen. 2
  • @
    @salomelotah79073 years ago Glory to god nampenda uyu mungu wa mbinguni ni mwaminifu. 4
  • @
    @octovinarichard72636 months ago Milango yangu yatakuwa wazi mchana na usiku amen.
  • @
    @salamalupenza50823 years ago Amen mtumishi nazidi kubarikiwa na mahubiri yako. Mungu azidi kuwalinda. 1
  • @
    @adelambaye1298last year Amen mungu ananifungulia na mimi kwa kuniinulia mtu sahihi barikiwa sana mtumishi.
  • @
    @aminarajab10455 months ago Napokea watu sahihi leo nimepokea mtaji 20 erf ro katika jinalayesu kristo ameeen.
  • @
    @rehema66602 years ago Naomba kwa maombi aya mungu akatende kitu kwenye ndoa yangu na familia yangu.
  • @
    @user-ys9wy7jc9z6 months ago Pia napokea mungu anaenda kunifungulia mtuhuyu kua upande wangu.
  • @
    @marygracefidelis13203 years ago Aminaa amina wasaidie na wazaz wangu wainulie watu wakuwasaidia pamoja na wadogo zangu. 1
  • @
    @biasharaathumani63632 years ago Naomba mungu uniunulie mtu sahihi wa kunisaidia katka changamotona mzigo mzito. Mungu nisaidie hasubuhi hii yaleo.
  • @
    @JackKamundia-wh4hdlast year Niombee nipate watu sahihi wa kunisaidia katika maisha yangu na familia.
  • @
    @suzymaleo66302 years ago Amen! Naomba bwana yesu ukapate kuniinulia watu sahii katika maisha yangu.
  • @
    @estermakasi62463 years ago Asante yesu kwa kuniinulia holy spirit connect. 1
  • @
    @mariamfritsi49432 years ago Amen mungu anakwenda kunifungua na kunibariki na familia yangu, nimepokea, maradhi yangu yataondoka na nitapata uzima na baraka. 10
  • @
    @uaeua21582 years ago Amina ihi histoliy inaniusu nimewasadia ndugu lakini wamenisaau naamini kuanzia sasanikumbukwe kwa jina la yesu.
  • @
    @user-vy4oy8us3f8 months ago Mungu naomba uniinulie watu sahihi wakunisaidia.
  • @
    @ceciliamichael72343 years ago Bwana yesu ninakushukuru kwa kuwa umeni connect mtu sahihi katika huduma ya kiroho, bwana yesu ninaomba uni connect na wat u sahihi katika uchumi wangu. 1
  • @
    @frolamponda8408 months ago Mungu uniunganishe nawatu sahihi wakuweza nisaidia.
  • @
    @user-ys9wy7jc9z6 months ago Amina mungu aniinulie uyu mwanaume awemtusahh kangu.
  • @
    @doreennkya55242 years ago Eeh bwana niinulie watu wakunisaidia katika maisha yangu.
  • @
    @dilurai42043 years ago Amen mungu niinulie mtu mzuri wakunisaidia ni pate kazi. 2
  • @
    @priscapaul3396 months ago Mungu anaomba watu wazuri wakunisaidia kimaisha biashara.
  • @
    @tricewilly50213 years ago Eenh mungu wangu naomba uniinulie watu sahihi wa kunivusha hapa nilipo kama ulivyofanya kwa kuniinulia mtumishi wako sahihu innocent morris amen.
  • @
    @marymueni78912 years ago Ee mungu inua mtu akasaidie kijana wangu evans kupata kazi.