Duration 2:27

MBOWE APONZWA NA HALIMA NA WENZAKE/MBUNGE KIBAJAJI ATEMA POVU ZITO.

72 watched
0
2
Published 30 Nov 2020

DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde Kibajaji amesema Wabunge wa Viti Maalum CHADEMA hawatendewi haki kutokana na kuongelewa maneno yakuwadhalilisha wanawake hao.

Category

Show more

Comments - 0