Duration 1:6:44

Mbunge Wingwi Mh. Omar Issa aweka wazi namna atakavyotekeleza ahadi zake. Naanza mwezi wa 2

436 watched
0
1
Published 27 Dec 2020

Alyasema hayo akiwa katika ziara zake za kutoa shukran na kuchukua changamoto za wananchi katika jimbo lake. Katika ziara hiyo alieleza mengi ya kutia moyo kwa watu na kuwataka wamuunge mkono ili aweze kutimiza ahadi zake kwa haraka.

Category

Show more

Comments - 0