Duration 21:44

SIMBA QUEENS vs BAOBAB QUEENS (5-0) - YAIVUA UBINGWA JKT QUEENS

21 525 watched
0
90
Published 5 Aug 2020

SIMBA QUEENS vs BAOBAB QUEENS (5-0) - YAIVUA UBINGWA JKT QUEENS... TIMU ya Simba Queens leo Agosti 5 imeibuka na ushindi wa mabao 5 -0 mbele ya Baobab Queens kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Mabao ya Simba yalifungwa na Mwanahamisi Omary aliyetupia mawili,Opah Clement alitupia bao moja, sawa na Dotto Evarist huku kipa Zubeda Mgunda akitupia bao moja kwa mkwaju wa penalti. Ushindi wa leo unaifanya Simba Queens kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi ya Wanawake kwa kuwa wamefikisha jumla ya pointi 53 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu yoyote kwa sasa ndani ya ligi hiyo. Imebakiwa na mechi mbili za kucheza ambazo ni dhidi ya Alliance Girls na TSC Queens yote hiyo itakuwa kanda ya ziwa Ushindi huo unaifanya kuivua JKT Queens ubingwa jumlajumla kwa kuwa msimu uliopita ilitwaa taji hilo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 9