Duration 7:37

MWANAMKE USIKUBALI MUME WAKO ATEKWE NA KAHABA - PASTOR LEAH AMOS

6 674 watched
0
70
Published 20 Feb 2020

Naitwa Leah Amos, Mimi ni mchungaji kiongozi wa kanisa la ABC Mount Zion lililopo Mpiji Magohe Mbezi jijini Dar es salaam. Mbali na kuwa mchungaji lakini pia mimi ni mwalimu ambaye anafundisha semina na makongamano mbalimbali pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili. SUBSCRIBE na ubonyeze kengele kwenye channel hii ili upate mafundisho mbalimbali ya Neno la Mungu kila ninapoyaweka. Kwa maombi, maombezi na ushauri wa kiroho nitumie ujumbe mfupi au nipigie kwa simu namba +255 714 494 974. MUNGU akubariki sana.

Category

Show more

Comments - 17