Duration 26:24

SOGA: Lil Ommy afunguka siri ya kuendelea kuwa mtangazaji BORA wa redio, azungumzia safari ya DUBAI

5 817 watched
0
131
Published 16 May 2019

Kwenye episode mpya ya #Soga, Skywalker amezungumza na mtangazaji wa kipindi maarufu cha redio, The Playlist cha Times FM, #LilOmmy kuhusu safari yake ya Dubai, sababu ya kuendelea kuwa miongoni mwa watangazaji bora wa redio, nidhamu yake katika kazi na mambo mengine

Category

Show more

Comments - 44