Duration 4:46

MANENO YA BRIGEDIA GAGUTI KWA MEJA JEN.MBUGE MIMI SIKUTWISHI MISUMARI

17 414 watched
0
87
Published 26 May 2021

Aliyekuww Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameeleza jinsi alivyoteuliwa kwa mara tatu na mazingira anayokuwemo. Ameyasema hayo wakati wa makabidhiano ya Ofisi na Mkuu mpya wa Mkoa wa Kagera Meja Jeneral Charles Mbuge ambayo yamefanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa uliopo Manispaa ya Bukoba Mkoani humo

Category

Show more

Comments - 7