Duration 2:36

Wimbo wa Historia English & Swahili lyrics

30 101 watched
0
259
Published 12 Feb 2020

Wimbo wa historia kwa bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ! Here a translation of this beautiful song with the east african flag ! Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi. Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi). Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa. Mji mkuu ni Nairobi. Idadi ya watu imeongezeka sana katika miaka ya karibuni na kufikia milioni 49. Kenya ina mbuga mbalimbali wanamoishi aina elfu kadhaa za wanyama pori. Jina la nchi limetokana na mlima Kenya[2], ulio wa pili kwa urefu barani Afrika.[3][4] Kenya (/ˈkɛnjə/ (About this soundlisten)), officially the Republic of Kenya (Swahili: Jamhuri ya Kenya), is a country in Africa with 47 semiautonomous counties governed by elected governors. At 580,367 square kilometres (224,081 sq mi), Kenya is the world's 48th largest country by total area. With a population of more than 47.6 million people, Kenya is the 29th most populous country.[5] Kenya's capital and largest city is Nairobi while its oldest city and first capital is the coastal city of Mombasa. Kisumu City is the third largest city and also an inland port on Lake Victoria. Other important urban centres include Nakuru and Eldoret. Lyrics are on my website : https://jordannodin.wordpress.com/2019/10/15/translation-in-english-of-wimbo-wa-historia-kenya/

Category

Show more

Comments - 15