Duration 2:15

Yaliyojiri katika Maadhimisho ya Siku ya Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa.

223 watched
0
3
Published 2 Jun 2021

Video hii fupi inakupitisha kuona baadhi ya matukio muhimu ikiwa ni Pamoja na Gwaride la heshima na uwekaji wa Mashada ya maua kwa heshima kuwakumbuka askari waliopoteza Maisha katika misheni mbalimbali. Maadhimisho haya yalifanyika Mei 28,2021 katika uwanja wa Mashujaa Mnazi Mmoja,Dar es Salaam. #PKDay #UNTZ #unicdaressalaam

Category

Show more

Comments - 0